Kwanini wakatoliki na Walutheri wamekuwa na Ushirikiano Mzuri? Kuna nini hasa?

Dhehebu gan wew?
Unajitesa tu bure na umeshamjua mtu unayebishana naye kupitia mfano wake wa muislam na mkristo.
Lutherans na Catholics hata baadhi ya sehemu za litrujia zinafanana na kuendana. Na ndio maana ubatizo wao pia huendana

Nitaweza kulinganisha catholics, lutherans na Anglicans. Hawa ibada zao hazina tofauti Sana hivyo wanaweza kusali pamoja maana wote nimekuwa nikihudhuria ibada zao. Hata huko kwingine kwa manabii sijui nimekwenda but tofauti ni kubwa mno wao wanaenda na tune ya matatizo na matarajio ya waumini wao sio maandiko. Yaani kabla ya ibada hawajui hata neno linalokwenda kuhubiriwa ni lipi. While kwa Hawa watatu wanakwenda kwa nyakati za kimaandiko

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni impact ya mtaguso wa pili wa vatican kuna hati maalumu juu ya uhusiano wa kanisa katoliki na makanisa ya kiukumene yaani makanisa yenye ukaribu na kanisa katoliki hii ni kawaida tu kwa sasa hamna uadui maana wote wana lengo moja
 
Wakatoliki waligundua alichosema Luther ni kweli hivyo ni msamaha wa kianaaina .

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli nyingi kati ya 95 thesis za Martin Luther zimekuwa adopted kimya kimya na Kanisa Katoliki hasa katika mtaguso wa Vatican II, mifano ni mingi;
(I) Kanisa Katoliki kuachana na ibada za Kilatini- ibada zote zote zilikuwa ni kilatini
(ii) Kanisa Katoliki kuanza kuruhusu watu wasio "Makreli" kusoma Biblia
(iii) Kanisa Katoliki kuanza kuchapa Biblia kwa lugha asilia za watu
(iv) Kanisa Katoliki kuanza kufundisha kwamba wakristu wa madhehebu mengine nao watakwenda mbinguni zamani ilikuwa extra ecclesia nulla salus
(v) Kanisa Katoliki ktk Mtaguso wa Vatican II likatoa hati maalum iitwayo "Unitatis Redintegratio" kuelezea uhusiano wa wakatoliki na wakristu wengine unavyopaswa kuwa
n.k n.k

Faida nyingine ya siri Kanisa Katoliki kuanzia wakati huo mpaka leo likawa linaweka jasusi wake katika kila chuo duniani anayeitwa "Chaplain" kusudi aweze kuratibu fikra za wanazuoni. Ikumbukwe kuwa Luther alileta mapinduzi yake akitumia wanauzuaoni wa Wittenberg Universitat
 
Mkuu Una wazo zuri .

Back
Top Bottom