Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Dhehebu gan wew?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitesa tu bure na umeshamjua mtu unayebishana naye kupitia mfano wake wa muislam na mkristo.
Lutherans na Catholics hata baadhi ya sehemu za litrujia zinafanana na kuendana. Na ndio maana ubatizo wao pia huendana
Nitaweza kulinganisha catholics, lutherans na Anglicans. Hawa ibada zao hazina tofauti Sana hivyo wanaweza kusali pamoja maana wote nimekuwa nikihudhuria ibada zao. Hata huko kwingine kwa manabii sijui nimekwenda but tofauti ni kubwa mno wao wanaenda na tune ya matatizo na matarajio ya waumini wao sio maandiko. Yaani kabla ya ibada hawajui hata neno linalokwenda kuhubiriwa ni lipi. While kwa Hawa watatu wanakwenda kwa nyakati za kimaandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app