Hawajui mtu anavyokuwa anatamani size anazoziona kwenye tv azionje! Na za mitandaoni zinavyong’aa vzr kuliko live🤥
Hivi kabila gan ww? Sio muha kweli?Kwanza uwapende wanini eti? Wakati Mimi nipo, alafu hao wanaume wa kushinda makanisani wanakuwaga na matatizo sana ndio maana Mimi nikapewa wewe Yani tunaendana Hadi raha
Mm Sio mchoyo, try me 😎Ni kachoyo mno!
Unaomba ukiw ana jimbo wazi, ukiomba uku una wako kichwani ni ngumu kufanikisha! Na akija seremala humtaki unataka wa bot inakuwa kasheshe🤸🏽♀️sasa unaombaje upate mtu sahihi na unaanza kuchagua kabla hujaletewa na Mungu ,hizo sifa hapo ni kwa mwanamke dunia ya kileo kupata mwanamke wa hivyo kama maandiko yalivyopigia mstari ni kazi sio ndogo,halafu msidanganyike wanaume wa makanisani ndiyo wanaume bora utajuta utasema bora wahuni wa kitaa
Labla wa kijijini huko, ila sio mm wa mjini niliyekulia kwenye jamii ya kila aina za watuWachoyooo balaa
Sasa huwezi tumia probability kwenye afya yako ya akili mkuu, ili uwe timamu we jua tu No guarantee ya mwanamke kuwa loyal kwako hata kama ulimkuta bikira. Yaani inawezekana kabisa mwenzio akaoa single mother na asipate tatizo la uzinzi japo probability hampi favour ila wewe ambaye inaku favor ukapigwa matukio.Ushajiuliza why na tumia neno probability?
Bikra sio kwamba hakengeuki, ila unapunguza probability ya kugongewa. Ukichukua sample ya bikra na wasio na bikra, then ukicalculculate basi kuna probability ndogo ya kugongwa, kulio ambaye sio bikra. Ila ndio jamii tunayo iona sasa hivi, kugongewa/kuchepuka kawaida, ndoa kuvunjika kawaida, migogoro kibao . Wewe unazani why ndo za zamani zilikuwa imara kuliko za sasa na tena nyingine zilikuwa za kimila.
Hawajui mtu anavyokuwa anatamani size anazoziona kwenye tv azionje! Na za mitandaoni zinavyong’aa vzr kuliko live🤥
shida kaka wanakuja kuwa na viburi baadae ,formula nzuri ya kupata mke mzuri tu achana na mke bora ni kuwa na uvumilivu kuacha papara ya kutafuta kuwa busy na maisha mtu mzuri atakuja tu ,shida wanaume huwa tunatakaga mambo kwa pupa umekutana na demu leo kesho unataka kuoa,Bikra sio kwamba hakengeuki, ila unapunguza probability ya kugongewa. Ukichukua sample ya bikra na wasio na bikra, then ukicalculculate basi kuna probability ndogo ya kugongwa, kulio ambaye sio bikra. Ila ndio jamii tunayo iona sasa hivi, kugongewa/kuchepuka kawaida, ndoa kuvunjika kawaida, migogoro kibao . Wewe unazani why ndo za zamani zilikuwa imara kuliko za sasa na tena nyingine zilikuwa za kimila.
ukija kuangalia hivi jua limezamaUnaomba ukiw ana jimbo wazi, ukiomba uku una wako kichwani ni ngumu kufanikisha! Na akija seremala humtaki unataka wa bot inakuwa kasheshe🤸🏽♀️
HahahahahaaaaaOya Busu la Kenge ebu tulia huko una fujo sana
Kwanza uwapende wanini eti? Wakati Mimi nipo, alafu hao wanaume wa kushinda makanisani wanakuwaga na matatizo sana ndio maana Mimi nikapewa wewe Yani tunaendana Hadi rKama ukimuomba Mungu akuondolee mtu kama sio sahihi kwenye maisha yako haipiti siku anaodnolewa, sembuse kuomba mtu sahihi? Omba kwa kumaanisha mbona unampata vzr tu.. sema mi sipendagi wanaume wa makanisani ila wapo!!
Bora umewaambia ukweli🥰hawajui pesa zako ni kwa akNever! Heri nitawaze kuku moguu kuliko kumpa 🤥 pesa🙌🏾
Hapana sio Muha, ila watoto wetu watakua ni wakuryaHivi kabila gan ww? Sio muha kweli?
Labla wa kijijini huko, ila sio mm wa mjini niliyekulia kwenye jamii ya kila aina za watu
Naomba elaa🙄🫴🏾Mm Sio mchoyo, try me 😎
Ila ww kupewa pesa na mtu asiye wako unaona fresh?Never! Heri nitawaze kuku miguu kuliko kumpa 🤥 pesa🙌🏾
Haiombwi Hivyo.Kwanza uwapende wanini eti? Wakati Mimi nipo, alafu hao wanaume wa kushinda makanisani wanakuwaga na matatizo sana ndio maana Mimi nikapewa wewe Yani tunaendana Hadi r
Bora umewaambia ukweli🥰hawajui pesa zako ni kwa ak
Jli ya wewe namimi tu
Hapana sio Muha, ila watoto wetu watakua ni wakurya
Unajifanyia zako makila kitu ukikaa umekaa, unaanza kuzoom wengine wakifanya marufio! Sasa kaokoteze limbukeni in the name of kametulia sana🥴 upandishwe sukari ukome😂bora mbobezi wa mambo kashafanya ameshatulia,bikra unaoa bikra eti bikra akishajua utamu unapatikana vipi si ndiyo kukigawa kila
Kama mimi😂ukija kuangalia hivi jua limezama
Bichwa komwe unanisumbua sana wizo na tag zako za picha za hovyo mi nimefunga nikome..!! adriz huyu mtu wako ananiharibia funga yangu 😹😹😹Huyo hapo alivyokuwa akipanda ngazi kama ng'ombe anaelekea kuchinjwa.
View attachment 3555217
Lamomy
muda ni mwalimu mzuri😅Kama mimi😂
Weee wakurya tena! Mapanga yatahusika hapa⚔️Kwanza uwapende wanini eti? Wakati Mimi nipo, alafu hao wanaume wa kushinda makanisani wanakuwaga na matatizo sana ndio maana Mimi nikapewa wewe Yani tunaendana Hadi r
Bora umewaambia ukweli🥰hawajui pesa zako ni kwa ak
Jli ya wewe namimi tu
Hapana sio Muha, ila watoto wetu watakua ni wakurya
Kawa kawazz..Ila ww kupewa pesa na mtu asiye wako unaona fresh?
Mkuu mbona unanisagia kunguniHaiombwi Hivyo.
Nenda kwa ustaarabu tuu utapewa.
Na kama hana nia ya kukupa, utaendelea kupiga domo JF mpaka meno yatoe jasho.
Hakuna haja ya kuingia comment usizoelewa