Ndo ukikaa na wenzako mnajidanganya hvy?Kama ukimuomba Mungu akuondolee mtu kama sio sahihi kwenye maisha yako haipiti siku anaodnolewa, sembuse kuomba mtu sahihi? Omba kwa kumaanisha mbona unampata vzr tu.. sema mi sipendagi wanaume wa makanisani ila wapo!!
Mfano nikikupa ww 50k, afu nikatafuta malaya nikalala nae nikampa 50k.Kawa kawazz..
Hahaha. Aisee.Hawajui mtu anavyokuwa anatamani size anazoziona kwenye tv azionje! Na za mitandaoni zinavyong’aa vzr kuliko live🤥
Iombe Kwa ustaarabu.Mkuu mbona unanisagia kunguni
Seriously?Hawajui mtu anavyokuwa anatamani size anazoziona kwenye tv azionje! Na za mitandaoni zinavyong’aa vzr kuliko live🤥
Njoo pmNaomba elaa🙄🫴🏾
Naongelea mahusiano, ofcoz km unaomba kwa kumaanisha unafinyangwa vzr tu mbona!Ndo ukikaa na wenzako mnajidanganya hvy?
Bc kila mtu angekuwa anaomba maadui zao waondoke, lkn wale wabaya wako ndo kwanza wanazidi kupendeza afu ww uliefanyiwa Ubaya unazidi kuduma
sasa ndugu zangu na viwiko mnapeana 🤣🤣 angalieni msitoboane macho,mnagombania nafasi ya uenyekiti bara wakati kiti kina mtu anaepewa tu sahivi anavyonza juice ila hamko serious mangi 🤣🤣Haiombwi Hivyo.
Nenda kwa ustaarabu tuu utapewa.
Na kama hana nia ya kukupa, utaendelea kupiga domo JF mpaka meno yatoe jasho.
Hakuna haja ya kuingia comment usizoelewa
Utofauti wetu ni mimi sijapigwa ndizi🤗Mfano nikikupa ww 50k, afu nikatafuta malaya nikalala nae nikampa 50k.
Utofauti wenu hapo n upi?
Hahaha, mkuu hakuna ubora we sema tu ubahatike mwanamke aliyetulia mwenye standard zake iwe ulimkuta bikira au la. Mengine ni kujipa matumaini hewa tu.bora mbobezi wa mambo kashafanya ameshatulia,bikra unaoa bikra eti bikra akishajua utamu unapatikana vipi si ndiyo kukigawa kila kona
Nyie jazaneni tu, na bikra ndio chanzo cha kusagana ohoo😀Hahaha. Aisee.
Nimecheka mpk nimeachia sijapenda 🙄Iombe Kwa ustaarabu.
Cheza nafasi yako, acha ufala.
Shauri zenu🙃Seriously?
Ha, kuna hili tena?Nyie jazaneni tu, na bikra ndio chanzo cha kusagana ohoo😀
Sasa hiyo fifty si tunamalizana tu kimjinimjini mwangu..Njoo pm
Kuweni wapole tuwape codes🤗Ha, kuna hili tena?
Lazima na ww ufanye namna ya kuziba hapo nilipoitoa hy 50kSasa hiyo fifty si tunamalizana tu kimjinimjini mwangu..
🤣🤣🤣sawa mkuu yote ni heriHahaha, mkuu hakuna ubora we sema tu ubahatike mwanamke aliyetulia mwenye standard zake iwe ulimkuta bikira au la. Mengine ni kujipa matumaini hewa tu.
Umeoa bikra akiwa hana mikopo, amekopa huko ili ukalipe ada za shule halafu hana marejesho na wewe umeshindwa mpa si unatengeneza tu mazingira akatolewe bikira nyingine na wahuni wenye mitaji?