Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Ndugu zangu nje moto ndani moto, siku hizi umalaya umezidi. Muda huu nimetoka kutoa tamko la kuchukua hisa zangu.
Yaani mapenzi ya siku hizi uji moto bakuli moto.
 
sasa ndugu zangu na viwiko mnapeana 🤣🤣 angalieni msitoboane macho,mnagombania nafasi ya uenyekiti bara wakati kiti kina mtu anaepewa tu sahivi anavyonza juice ila hamko serious mangi 🤣🤣
Hakuna viwiko hapo, jamaa ana ufala tuu.
Acheze nafasi yake kuomba nyapu, aache kudandia story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…