Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Ukipata fedha/cheo/mamlaka lazima makucha utayaonyesha, wakati mwingine umasikini unatuepusha na vitu vingi.
Upo sahihi, ila bado mwanaume anaweza kulombana na mwanamke ambaye hampendi maybe n kutokana na kumtamani tuu ila sio kwa wanawake wanaojisahau wakianza kuchepuka.
 
Upo sahihi, ila bado mwanaume anaweza kulombana na mwanamke ambaye hampendi maybe n kutokana na kumtamani tuu ila sio kwa wanawake wanaojisahau wakianza kuchepuka.
Maandiko yanasema, tuishi nao kwa akili.
 
Nimejaribu kusoma maoni ya Wananchi wenzangu humu wengi wamejaribu kushare uzoefu kuhusu mada tajwa na wengine kupendekeza possible solutions ili kupunguza risks/athari za uchepukaji nami naomba nichangie kidogo.

Kuna ugonjwa mmoja ndani ya Nafsi ya Mwanadamu unaitwa "Ubinafsi"(Selfishness) yaani mtu kujiona yeye ni bora zaidi kuliko mwingine.

Mgonjwa wa ugonjwa huu asipotibiwa especially kabla hajaingia kwenye Ndoa ili awe anamuona mwenzake ni bora kuliko Nafsi yake nawahakikishia 100% lolote litatokea at any time T.

Kulingana na majukumu yangu ya kijamii(Kiroho & Kisaikolojia) na kesi ninazoletewa kuhusu malalamiko yaliyo ndoani ikiwemo "Kukinaiana plus Uchepukaji" sababu kuu ni kwamba Nafsi za hawa watu hazikuponywa ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yote duniani kwenye Nafsi ya Mwanadamu uitwao "Ubinafsi"(Selfishness).

Ile hali ya kumpenda Mke au Mume kama Nafsi yako naturally wengi hawana kwa sababu mizizi ya Ubinafsi imetamalaki ndani yao.

Sasa,kwa sababu Mimi ni Mathematician pia,huwa siangalii tu tatizo na kuliacha hewani. Lazima nichimbe ndani sana kwamba solution yake ni nini?.
Nimejaribu kuangalia suluhisho la kudumu la watu kuondokana na Ubinafsi ni nini. Nimegundua ni watu kumpokea Yesu Kristo mioyoni mwao ili awaambukize(awamiminie) Sacrificial Love(UPENDO wenye asili ya kujitoa sadaka kwa ajili ya ustawi wa wengine) ndio maana ukiniona nipo busy kumuhubiri Yesu Kristo nyumba kwa nyumba au mtaa kwa mtaa usidhani nimekosa kazi za kufanya au nati kichwani mwangu zimelegea la hasha!. Nakuwa napambana kuuondoa ugonjwa mbaya zaidi duniani uitwao UBINAFSI.

Nawaibia siri Mke wangu huwa anahofia sana Mimi kutangulia kufa. Mwanzoni nilijua anatania ila kadiri siku zinavyozidi kwenda nimegundua yupo serious na hofu yake hiyo. Basi Mimi huwa namfariji kwamba siku Mungu ataponiambia "aga kwa maana muda wako wa kuishi duniani umekwisha",nitamwomba akuandae kuishi bila Mimi kwanza. Guess what🤣🤣🤣🤣huwa hanielewi kabisa na wala huwa hataki kuelewa. Kuna UTAMU usioelezeka mioyo miwili iliyoponywa ugonjwa wa Ubinafsi na Yesu ikiungana.

Wale niliowakwaza nisameheni bure maana nimeshindwa kabisa kuvunga kushare UKWELI huu ambao kwa wengine utaonekana ni mchungu.

Wito wangu. Kama kuna mtu au watu humu mmepewa Karama ya kumuhubiri Yesu Kristo hasa kwa vijana ambao hawajaingia Ndoani bado,nawaombeni sana muhubirini Yesu kwa bidii zote. Kwa sababu bila yeye hakuna suluhisho la kudumu la ugonjwa wa UBINAFSI ambao ndio chanzo kikuu cha matatizo mengi sana hapa duniani. Mkilala tu,huko mbeleni suala la NDOA litabaki makumbusho!
 

The riskiest survival strategy. Hapo ni kuishia kuzalishwa tena na kubwagwa - achilia mbali magonjwa, verbal & physical abuses etc. No wonder wanawake wengi wanaongoza kwa maambukizi. Solution ni simple tu: Leave the marriage.
 
Hivo ndivyo mkeo ataliwa ikiwa bado hujaoa
 
Ok, nisikaze fuvu maana jamii kweli imebadilika kama kuna vijana wa kiume wanakimbiwa na mke sababu wametongozwa na wanaume wakakubali na kujengewa nyumba wazi wazi kabisa sembuse hili? Inawezekana.
😂😂😂 umeona sasa? Tunaongea lugha 1 eeeh.
 
Hawajui mtu anavyokuwa anatamani size anazoziona kwenye tv azionje! Na za mitandaoni zinavyong’aa vzr kuliko live🤥
😂😂😂 nimecheka km mwehu, jojoro zinapigwa filter zinawaka hatarii.

Zione live sasa, zimepauka na kufubaa, hata ladha ya mshiko hazina.
Mxiiiieeeew
 

Kwa sababu mwanamke hawezi exist pasipo mwanaume...

Hapa yanatajwa mahusiano wanayofanya wake za watu sio wanawake wote...
 
😂😂😂 nimecheka km mwehu, jojoro zinapigwa filter zinawaka hatarii.

Zione live sasa, zimepauka na kufubaa, hata ladha ya mshiko hazina.
Mxiiiieeeew
Sasa imagine uwe bikra afu umeishia kuonja kipilipili cha mmeo, unakutana na soft copy moja imepigwa futa hilo inang’aa😂🤸🏽‍♀️ Unachomoa??
 
Simple tu swali langu jepesi, "why ndoa za zamani haijalishi za kidini au kimila zilikuwa zinadumu kuliko za sasa".?

Manake nakuona unatizama lkn hauoni. Ndoa sio ajira useme unataka mzoefu.
 
Simple tu swali langu jepesi, "why ndoa za zamani haijalishi za kidini au kimila zilikuwa zinadumu kuliko za sasa".?

Manake nakuona unatizama lkn hauoni. Ndoa sio ajira useme unataka mzoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…