Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

😁🫠😁
Eti uwe unachuja nafaka
Duh nimecheka
 
MTu anachepuka, anaku abuse emotional...anakupa hela anasepa..no intimacy , hisia zinakufa..ila ye ana enjoy huko nje..ukilazimisha anapanda anamwaga kamaliza analala....
Narcists🙌🏾 Halafu unaambiwa eti akukute na bikra na fyokofyoko kama zote
Halafu unakutana na mtu nje abakubembeleza,yaani romantic...weee
Si ndioo😌 mtu anajua maana ya mwanamke ni nini? Anakupa pumziko hapo ata ute unakujaga wenyewe🤗💃🏽
 
Ewaaaa!!
 
Ila wewee, 😂😂😂
 
Kusema ukweli wa Mungu, mimi wake za watu nawaogopa, na sitakuja kufanya mazoea nao hata siku moja. Wanaume kuna namna tunaheshimiana na kuhurumiana hasa kwenye ishu nzima ya utafutaji; lakini linapokuja swala la kumkula mke wake aaah kula panga au kufanyiwa ukatili wowote ni kawaida.

Hivyo enyi wanaume jambo hili liepukeni kwa gharama kubwa. Na asiwepo wa kujisifia kula wake za watu yatakuja yamkute kisha ataleta ushuhuda hapa kama atafanikiwa kuponyoka.

Mara moja niliwahi kumla mke wa mtu bila kujua, na nilipo jua tu pale pale nilikaka mazoea yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…