Yeah ni mbaya sana , wanawake walio single wamejaa , hakuna umuhimu wowote wa kung'ang'ana na wake za watuKusema ukweli wa Mungu, mimi wake za watu nawaogopa, na sitakuja kufanya mazoea nao hata siku moja. Wanaume kuna namna tunaheshimiana na kuhurumiana hasa kwenye ishu nzima ya utafutaji; lakini linapokuja swala la kumkula mke wake aaah kula panga au kufanyiwa ukatili wowote ni kawaida.
Hivyo enyi wanaume jambo hili liepukeni kwa gharama kubwa.
Acha tu twende kule๐ญHahaa una kg ngapi???
Unachomoaje kwa mfano?? Ndo mwanzio wa kutafuta chimbo la telegram, ukajipatie madushe ya viwangoSasa imagine uwe bikra afu umeishia kuonja kipilipili cha mmeo, unakutana na soft copy moja imepigwa futa hilo inangโaa๐๐คธ๐ฝโโ๏ธ Unachomoa??
OkAcha tu twende kule๐ญ
Kumekucha๐๐๐Hongera kwa utafiti wanaume nao mpunguze ku nanii kilokole lol๐
Utasikia linasema,
Mafurushi ya humu hayatakii kuambiwa km hivi.Ndoa zisingekuwepo mwaya ๐ฉ
I will leave lakini mwajuma, pili, na Raheli je? sio kila mtu ataweza kuondoka, na hata akiondoka huko aendako ndio bora?
Tangu wanaume mlipokataa kuwajibishana kwenye hili, it does not seem to help . Mambo ndio kwanza yanazidi kuwa mabaya.
I hope kuna siku mtaelewa kwanini kwenye baadhi ya mambo huwa nakomaa na mwanaume, simple katika sayansi ya kuhusianaโฆ Mwanamke ni reciprocater, in most cases atakurudishia kile ulichompa.
Itโs natural justice, you can not pour from an empty glass.
Kwa hiyo huko unapoenda kuchepuka unaenda chepuka na sokwe sioHongera kwa utafiti wanaume nao mpunguze ku nanii kilokole lol๐
Umwajibishe kwa njia gani? Bora tu uache kuoa. Hakuna njia ya kumwajibisha mwanamke aliyeamua kuchepuka.Kwanini hatuwezi kumwajibisha mwanamke binafsi kwa matendo yake bila kurusha lawama kwa mwanaume.
Vipi wanaume wanaochepuka tatizo ni wake zao au kwa wanaume kuchepuka ni tamaa? yaani mwanaume akichepuka kosa ni la mwanaume, mwanamke akichepuka kosa ni la mwanaume.
Lets make women accountable for their bad decisions.
Sasa mtu kisa kamuoa mwanamke anajifanya kamzoea anakazi ya kupachika kama utambi wakati zamani alimzoesha michezo ๐ wanaume wanakazana ooh mwanamke usimzoee mumeo ๐คจ hata sisi hatutaki mazoea NB siungi mkono kuchepka ila ikibidi๐ซขKumekucha๐๐๐
Utaanza kutamani uione hata ya mlinzi au shamba boy ikoje kwanza! Utapita na viumbe vya ajabu mpaka huyo mume aseme! Ukiingia mitandao ya kijamii wanasifia umbo fulani afu huyu wa kuitwa mme mwema hana๐คUnachomoaje kwa mfano?? Ndo mwanzio wa kutafuta chimbo la telegram, ukajipatie madushe ya viwango
๐๐๐
Chochote baba ata rozirozi๐ซด๐พUtasikia linasema,
"Njoo, si unataka Iphone 17".
Tamaa ya nini? Unakuta mtu anachepuka na mtu ambaye hampi chochote. Tamaa ikwapi hapo?Chanzo ni tamaa, hawataki kuishi kwa urefu wa kamba zao, wanakuwa wanalazimisha kutaka mafanikio makubwa kwa haraka.
๐๐๐ mama mtumishii. Mbona.......MTu anachepuka, anaku abuse emotional...anakupa hela anasepa..no intimacy , hisia zinakufa..ila ye ana enjoy huko nje..ukilazimisha anapanda anamwaga kamaliza analala....
Halafu unakutana na mtu nje anakubembeleza,yaani romantic...weee๐๐๐
Mjep au nasema uongo
Mkuu ๐ kwann sokwe lakini asante nimechekaKwa hiyo huko unapoenda kuchepuka unaenda chepuka na sokwe sio
Nimefurahi sana leo mlivyokuja kwa pamoja tushambulie huu mzizi wa fitina, sijui m/kiti wao bado kalala๐Sasa mtu kisa kamuoa mwanamke anajifanya kamzoea anakazi ya kupachika kama utambi wakati zamani alimzoesha michezo ๐ wanaume wanakazana ooh mwanamke usimzoee mumeo ๐คจ hata sisi hatutaki mazoea NB siungi mkono kuchepka ila ikibidi๐ซข
๐๐๐Na wakati nyuma kuko wazi๐ฎ
UNAFIKI. ๐๐๐Haha
Wanajazana ujinga tu hawa km vile wao wanakuwa bikra