Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Jamani ila mambo haya, nyie acheni tyuuh.
Nina kisanga ki1, kile kinanifanya niamini yule muhusika atachapiwa hata amuoe bikra, sio kwa ufuto ule.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mama mtumishii. Mbona.......
Ndo ukweli mi unafiki siwezi
Mwanaume kubembeleza hawezi
Fore play hawezi sijui hataki masna ht sielewiπŸ˜†
Ss inakuaje jmn si ndo kuumizana kwann mtu asitoke nje??
Ndo maana wapaka rangi, na boda na house boy ndo wanagonga wake za watu
 
Nawe Oa utajua unafanya au kuongea ni uupuzi
 
Mimi sichepki ila haya yapo sana
kwann utwange kama kisamvu jamani🫒
Mtu siku akipata kishawishi akajaribu akakutana na rumba ndoa imeisha
Anae chepuka na wewe ambae una ona ana kutosheleza nae mke wake anaona kama hamtoshelezi , nyie vijana wa sasa hamjui kuwa ndoa inahitaji uvumilivu na kubeba tatizo la mwenzako kama la kwako?
 
Kwa upande wa pili nasikia et wanaume wanaopenda kuchepka
Wanaoongoza ni wale wenye vidude kama kidole cha mwisho yaan unaambiwa huyo hatulii nyumbani mpka ahakikishe ana mdhalilisha mke wake πŸ˜† mke kakukubari ulivyo hajasema popote wewe tena kiguu na njia kujizalilishaπŸ™Œ
 
Jamani ila mambo haya, nyie acheni tyuuh.
Nina kisanga ki1, kile kinanifanya niamini yule muhusika atachapiwa hata amuoe bikra, sio kwa ufuto ule.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lete hicho kisanga mamtuπŸ€ΈπŸ½β€β™€οΈ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ msinichekeshe, huo ujasiri wanapata wapiii? Lol
 
Anae chepuka na wewe ambae una ona ana kutosheleza nae mke wake anaona kama hamtoshelezi , nyie vijana wa sasa hamjui kuwa ndoa inahitaji uvumilivu na kubeba tatizo la mwenzako kama la kwako?
Mkuu mimi nikiolewa nitacheza na mume wangu nimekatazwa kula kwa watu ni vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…