Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

😂😂😂 mie huyu ndo tulikua wote 4m 6 wakati huo.
Yaan nilivyokua namhusudu yule mkaka, siku ya kwenda kusukumwa nyama, nilijipanga vilivyo kwa show kabambe.
Nilichokutana nacho, tobaaah!!
😂😂😂
 
I guess kuna vitu wanavimiss kwa watu wao either pesa,ngono,upendo wa dhati,muda,etc hivo hutoka nje kuvitafuta
 
Sema ulichomfanyia kitampa msongo
 
😂😂😂 mie huyu ndo tulikua wote 4m 6 wakati huo.
Yaan nilivyokua namhusudu yule mkaka, siku ya kwenda kusukumwq nyama, nilijipanga vilivyo kwa show kabambe.
Nilichokutana nacho, tobaaah!!
😂😂😂
Hakua size yako , hata kwa nyie wanawake mmetofautiana sana, kuna ambao hata kidole cha mtoto kinamridhisha tu
 
Kwa sababu wanaume zao wanatumia muda mwingi kutafuta kipato cha kuwapendezesha hao wanawake zao, kwa ujinga wao wanawake wanaona kama waume zao hawawajali.
Wanaamua kuwa wakorofi majumbani, hawatoi tendo wanasingizia vitu vya ajabu ajabu.

Wanawake siyo binadamu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…