Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Huu ndio uwajibikaji tunaouzungumzia, we huwezi zunguka huku na huko humo kutongoza watu aseme watamkatalia, wamemkubalia kaanza kelele 🤣
 
Wake za watu ni wapweke mno,migogoro isiyoisha ndoani imepelekea watafute furaha nje.

Wakiwa kwenye uchumba ndiyo kidogo wagumu maana penzi linakuwa motomoto.

NB: Ex muda wowote anachovya!
 
Ndio sababu naogopa kuoa maana sitaki nichapiwe kama ninavyo wachapia
 
Kishaonjeshwa utamu wa asali, kulala bila asali ni ngumu:
 
umesema ukweki kabisa mkuu 😅
 
Anaweza kuwa Mke wa Mtu lakini Mume na Mke kila Mtu analala chumba chake kwahiyo kuchepuka hakuepukiki kwa Mtu ambaye siyo mwaminifu.
 
Umwajibishe kwa njia gani? Bora tu uache kuoa. Hakuna njia ya kumwajibisha mwanamke aliyeamua kuchepuka.
Kumwambia tu mtu kosa lake tayari umemwajibisha,nikisema uwajibikaji simaanishi kwamba apigwe, afungiwe ndani kama ambavyo unaweza ukawa umefikiri.

Am talking about accountability everyone should stand before the truth without exuces or scapegoats
 
Uzuri huwa tunaelewana…….! Hata kama sometimes unajaribu ku-escape the root cause.

Ila kwenye kila kitu kuna muanzishaji, huyo sio tu wakupewa lawama ila ingekuwa uwezo wangu angefungwa jiwe kubwa atupwe baharini 🤣
 
Kwa sababu mwanamke hawezi exist pasipo mwanaume...

Hapa yanatajwa mahusiano wanayofanya wake za watu sio wanawake wote...
If you can't tolerate infidelity then vunja mahusiano uwe huru kuianzisha mahusiano mengine. Lakini kusema na wewe uchepuke utakua umefanya kosa pia. Two wrongs don't make it correct.
 
Hahaha. Mnachekesha nyie. Na huyo naye wa nje anayekubebisha mwisho wa siku atapanda atamwaga atasepa. Au akiendelea kuwa nawe atakuwa nawe just for your body. Najiulizaga kwanini wanawake huwa wanadanganyika kirahisi hivi, sipati jibu.
Hatuchekeshi ndo hali halisi
Ht mwqnaume mwenye mchepuko same thing...

Btw, mi sipo humo🤣🙌hii ni according to wahusikq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…