Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Hapana,

Lakini ndio yanayoendelea, am i supposed to be denialist or realistic? Hebu tuwaze pamoja. Mleta mada kauliza sababu ya wake za watu kucheat na mi nimemjibu.
Umemjibu vema sana, ila ninewaza tu, je kuna sababu yoyote inamfanya mtu kuchepuka, iwe me au ke?

Jibu ni hapana kama ulivyosema, ila binadamu kama kawaida yetu, kutupla lawama kwa mwingine, Adam alianzisha huu utaratibu wa kutoa lawama kwa mwingine, nasi tunaiga tu.

The best option is to quit, mbona wazungu wengi wanaweza, sisi tunashindwa nini? If I'm no longer in love with Atoto 😅 natakiwa nimwambie ili taratibu za kuachana zianze. Njoo bongo sasa, utapangwa na wenzako muwe kumi...😆
 
sio wanaume wote ni wabaya kwamba wake zao wamechukua tabia hizo, wanaume wanao gongewe wake zao ni watu wapole wanaowapenda wake zao tena hata kuchepuka hawachepuki, shida ya wanawake wanatamaa saba

wanawake mkienda hivyo ndugu mtazamaji utafikiwa
Suala la tamaa nimelieleza kwenye post yangu ya kwanza , na nimesema kabisa kuna kundi la wachepukaji hawateteeki 😅
 
Kwanza tuelewane kwamba mwanamke asiyekubalika ni mwanamke Malaya, sio mwanamke single mother, siyo mwanamke asiye na bikira, Mwanamke malaya.

Nikisema mwanamke malaya nadhani unanielewa. Tulielewana hapa tunaweza kuendelea.
 
Unachosena Ni kweli tupu..
 
Hahaha, mkuu unaongelea kutokujua kibamia kwa mwanamke anayeishi 2026? rudi kwenye uhalisia mkuu, hizi si enzi zetu za kuandikiana barua za uchumba, sasa hivi mwanamke kuyaona maumbile ya mwanaume na kulinganisha na mumewe kunahitaji kukutana live na mwanaume?
 
Sasa mbona kelele au lawama zinajitokeza kwa wanawake wanao chepuka, ila kwa wanaume aaah.

Ndo maana yanajitokeza haya.
Kwanza tuelewane kwamba mwanamke asiyekubalika ni mwanamke Malaya, sio mwanamke single mother, siyo mwanamke asiye na bikira, Mwanamke malaya.

Nikisema mwanamke malaya nadhani unanielewa. Tulielewana hapa tunaweza kuendelea.
Yess ni mwanamke Malaya, haya tuendelee sasa.
 
Means kwamba hata ukiolewa na ukipata mwanaume aliyemzidi mumeo jambo fulani, lazima uchepuke.

Nipo sahihi hapo?
Not at all, Nimetaja makundi ya wachepukaji, na nikachagua wakuwatetea, maana yake hao ndio naweza vaa viatu vyao, kwa msingi huo jibu langu linaangukia kwa hilo kundi.
 
Not at all, Nimetaja makundi ya wachepukaji, na nikachagua wakuwatetea, maana yake hao ndio naweza vaa viatu vyao, kwa msingi huo jibu langu linaangukia kwa hilo kundi.
Ndo namaanisha kwamba, kama ww umeolewa na ikatokea hayo unayoyasema n Sahihi wao kuchepuka, hvy na ww pia utachepuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…