Kwanini wake za watu wengi wanaongoza kuchepuka?

Jamaa Fulani Mjuaji

Senior Member
Joined
Jul 25, 2020
Posts
155
Reaction score
278
Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana.

Yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi.

Vijana wapendeni wake zenu vinginevyo mtachapiwa sana wake zenu.
 
Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi, vijana wapendeni wake zenu vinginevyo mtachapiwa sana wake zenu.
Suluhisho ni hofu ya Mungu, ukiwa na hii hata uchepukaji hautokuepo, kweny hali ngumu utakua nae na kwenye wepes utakua nae mkimshukuru aliewaruzuku
 
Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi, vijana wapendeni wake zenu vinginevyo mtachapiwa sana wake zenu.
Kichwa cha mada mfumo wa swali,kwenye content umeeleza na kuwaasa tu hao uliowaita vijana.

Basi sawa vijana wamekusoma
 
Back
Top Bottom