Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi, vijana wapendeni wake zenu vinginevyo mtachapiwa sana wake zenu.
Tatizo la wanawake kutoka nje ya ndoa ni kutokana na utamu alokuwa akipewa na wanaume walotembea nae kabla ya kuolewa, kwa mumewe hapati hasa wa kingono.
Pia kingine ni ile hali ya kuzoeana sana. Kutokana na kuishi kwa pamoja sana, mtu ni yuleyule, kucheka ni kulekule, kuongea kulekule, kununa kulekule, kitombo kilekile, wanachokana.
Kwa hali hii mwanamke akiona mwanaume mwingine atampendea kitu kidogo tuu, na jamaa akijiongeza lazma atakula mzigo tuu. Hatimae mwanamke anatoka nje ya ndoa.
Alkazalika na kwa upande wa wanaume ni hivohivo. Ndo maana tunapoelekea ndoa inabidi ziwe za mkataba kama ulaya. Mnawekeana mkataba hata wa kila baada ya miaka miwili,
Mkataba ukiisha kama hamjachokana mnaongeza tena, kama mtakuwa mmechokana baada ya hiyo miaka miwili mkataba ukiisha mnaachana, then kila mtu atafute kifaa kimpya mke na mume mpya na mkataba uendelee.
Dunia ya utandawazi ya sasa wanawake sio tena wale wa zamani. Wanawake wa kileo hata ukioa usijisifu sana, muda wowote anaenda kupasuliwa marinda nje ya ndoa.