Kwanini Wakenya hawajui kiswahili!!!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Nikiwasikiliza wakenya matamshi yao,huwa naskia kichefuchefu,mfano siku ile watoto waarusha walipopata ajari nilimsikia raisi wao kwenye kampeni akisema "nawauliza ndugu zangu tusimame dakika moja kuwaombea watoto...." Kwa hiyo ndugu zangu jitaidini kuongea vizuri kama watz,Rwanda Burundi ,Zanzibar Nk
 
we mwenyewe umechapia uzi wako wote mpaka unatia kichefu chefu
 
🙂 🙂 hawa jamaa tatizo walikosa msimamo wa lugha rasmi, walilazimisha kingereza ila wasio na elimu wengi pia wanaachwa nyuma sasa sahivi wanachanganya tu kiswahili kingereza, kikuyu, kijaluo yaani maongezi yao kama unasikiliza wimbo kwa reverse
 
Kwani kingereza ni rugha yenu?! Kama mnaongea kiswahili kibovu na hata kingereza mtakuwa mnaongea cha hovyo
'Rugha' ndio nini, jameni mnatia kichefuchefu, uandishi wenu wa Kiswahili ni ovyo, Kingereza kilishawapiga chenga, lugha zenu za asili ziliwashinda eti mnasema ni ushamba, mnaishi kama watu wasiokua na asili yaani watumwa.
 
'Rugha' ndio nini, jameni mnatia kichefuchefu, uandishi wenu wa Kiswahili ni ovyo, Kingereza kilishawapiga chenga, lugha zenu za asili ziliwashinda eti mnasema ni ushamba, mnaishi kama watu wasiokua na asili yaani watumwa.
Haya mmoja huyu hapa rudi hapa akufunze kiswahili usikimbie...hizo r r zinasimamaje ktk sentence zenye L?
Cc: yahoo
 

hapa ndipo lugha ya kiswahili imetufikisha. Tuna kiezi kweli. lugha tamu tunayoipenda pamoja na lugha zetu asili. usije ukawa mtumwa wa lugha za watu na yako asili huifahamu!!!! mchina akoje na mkorea!!

More SGR Pics taken on May 29,2017
http://news.xinhuanet.com/photo/2017...1121058581.htm















 

Mwenyewe unaandika Ajari badala ya Ajali sasa utasaidika vipi???
 
imeng'oa nanga.....namaanisha safari. naandikia kiswahili au kichina.......ebu mkenya yeyote anipe uakiki hapa wa lugha ninayotumia....

kiswahili hichi hapa kimeijenge reeeli..mpya
SGR Cargo Train Flag-off












 
kiswahili chetu badooo....mombasani hapo!!!

OFFICIAL OPENING OF UWANJA WA MBUZI MINI-STADIUM
Source

Quote:
⁠⁠⁠It was fun galore last night at the inauguration of Uwanja wa Mbuzi Mini Stadium in Kongowea as we played the maiden match between the Mombasa Legends and Team 001. The modern stadium is fitted with Astro Turf Pitch, changing rooms, flood lights and has a capacity of over 2000 people. We will continue to develop such world class facilities around the County, to nurture the sporting talents of our youth and make them be competitive globally in the sports industry.














 
sababu zil zile zinazowafanya watz kuzungumza Kiingereza kibovu.....
 
Kwani kingereza ni rugha yenu?! Kama mnaongea kiswahili kibovu na hata kingereza mtakuwa mnaongea cha hovyo
We jamaa maandishi yako sijui umejifunzia wapi.

"rugha" hili neno umelitoa wapi
 
Kuna wanaodai ni lugha ya kishamba, wakifikiri Kwa kusema hivyo wanawaumiza waTz. Ila ni uamuzi, kama unaona kina kusaidia kitumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…