Giftedson
Senior Member
- Oct 6, 2014
- 185
- 139
Kiswahili chako ni kibovu kuliko hata hao wakenya jitafakari kwanza kumbuka unapomnyooshea mwenzako kidole vitatu vinakutizama weweNikiwasikiliza wakenya matamshi yao,huwa naskia kichefuchefu,mfano siku ile watoto waarusha walipopata ajari nilimsikia raisi wao kwenye kampeni akisema "nawauliza ndugu zangu tusimame dakika moja kuwaombea watoto...." Kwa hiyo ndugu zangu jitaidini kuongea vizuri kama watz,Rwanda Burundi ,Zanzibar Nk