Kwanini Wakenya na Watanzania wanaombeana mabaya?

Kwanini Wakenya na Watanzania wanaombeana mabaya?

Kiukweli kabisa....Syo Vita ila n kawaida
Kenya ndo inaongoza kwa GDP EAST AFRICA...ambayo imeshikwa na watu wachache 10% tu labda....
Lakin reality on ground ....
Ndo poorest country uktoa hao wachache waloshika uchumi

Watu wanaishi kwenye slams Tena ziko Nairobi...ingia Google utaona...
Na Hamna sehem Kuna slams Kama hizo hii East Africa nzima

Njaa kali sana kwao...half ya nchi n jangwa.....so umaskin plus ukame na jangwa yaan shida kila mwaka northern. Kenya maelf ya watu na mifungo vinakufa

Hawana resources Kama tz
Hawana vivutio vingi Kama tz
Wamegawanyika kikabila c Kama huku tz

Wanajifanya wako westernised na wameangukia kwene utumwa Sasa izi wamekuwa chinised ....wachina wanawachalaza viboko

Ko wametuzidi point moja tu watu wengi wamesoma soma kidogo


Tz....maskini Ana ekari za ardhi
.....anachakula ya kutosha....anajumba ya kawaida tofal na bati syo slums ya makuti na mabox

Kinachofanya waumie kichwa we are taking over the game!!
Literacy rate inapanda we are almost equal
Viwanda vinaongezeka kwa kasi walikua wanatuuzia bidhaa Sasa tunawauzia
Walikua wananunua malighaf Sasa no wananunua bidhaa
Utaliii tunawapga bado kwa kuboresha miundombinu na tuna vivutio vingi


So haya yatafanya Tz iwe one of top 5 great economy in Africa ...the worst nightmare ya Kenya

Ndo maana haihangaiki na Uganda wale rwanda or South Sudan

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa Lumumba na hizi kauli zenu za kenya inashikiliwa na watu wachache hua hampendi kushirikisha ubongo kamwe. Iweje basi kenya imeishinda Tanzania kwenye private sector, manufacturing, revenue collections etc?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom