Kwanini wakenya wengi hawapendi kupiga picha yenye mlima Kenya nyuma?

Kwanini wakenya wengi hawapendi kupiga picha yenye mlima Kenya nyuma?

magu.jpg
hivi ndivyo ikulu hapo dar ilijibu!! kila tukiwaambieni ubunifu wenu zerooo mnalialia tu..
 
the view the mt. is still from kenya.upande wa tz ni misty
 
Mlima KENYA si mrembo (not beutifull) kama ulivyo mlima kilimanjaro.Kenya hakuna warembo na mlima kenya sio mrembo ndio maana hata kenyatta na ruto wanaona aibu kupiga picha ikiwa na mlima wao mlima Kenya .Mount kenya is very UGLY.

Ndio maana hata Kenyatta na RUTTO wakipiga picha wanapiga picha na mlima KILIMANJARO sio mlima KENYA kwani mlima wao wa kenya is very ugly HAFAI KUPIGA NAO PICHA.

ona hapa Kenyatta na Ruto WANAVYOMEREREMETA na beutiful Kilimanjaro Mountain

hii-imekaaje-jpg.451283
Dar-Nairobi through kenya airways inapita karibu kabisa na huo mlima, wanausifia indirectly as if upo kenya hadi kero.
 
Kiswahili cha mwendokasi
lete mtihani wa kiswahili tuone nani bingwa.ukitaka kiswahili sanifu katembee na kamusi na tafadhali ukisha piga mtindi aghalabu peana simu kwa marafiki maana unawadhalilisha wenzio.stop drunk browsing
 
Ni kweli Kama wewe ni mkenya na hujawahi kufika Tanzania ,ukwel nikwamba ukiwa mkoa Wa Kilimanjaro mlima Kilimanjaro unaonekana vzur Sana na vilele vyake viwili kibo na mawenz
Wakenya hawajafika Rombo, Tarakia au Rongai. Mlima unaoneka vizuri sana.
 
Back
Top Bottom