Kwanini wakenya wengi hawapendi kupiga picha yenye mlima Kenya nyuma?

hivi ndivyo ikulu hapo dar ilijibu!! kila tukiwaambieni ubunifu wenu zerooo mnalialia tu..
 
the view the mt. is still from kenya.upande wa tz ni misty
 
Dar-Nairobi through kenya airways inapita karibu kabisa na huo mlima, wanausifia indirectly as if upo kenya hadi kero.
 
Kiswahili cha mwendokasi
lete mtihani wa kiswahili tuone nani bingwa.ukitaka kiswahili sanifu katembee na kamusi na tafadhali ukisha piga mtindi aghalabu peana simu kwa marafiki maana unawadhalilisha wenzio.stop drunk browsing
 
Ni kweli Kama wewe ni mkenya na hujawahi kufika Tanzania ,ukwel nikwamba ukiwa mkoa Wa Kilimanjaro mlima Kilimanjaro unaonekana vzur Sana na vilele vyake viwili kibo na mawenz
Wakenya hawajafika Rombo, Tarakia au Rongai. Mlima unaoneka vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…