Upo sawa kabisa Kilimanjaro ni Mlima na Msumbiji ni nchi .Duh...mkuu upo serious! Mlima Kilimanjaro na Msumbiji wapi na wapi? hahahahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sawa kabisa Kilimanjaro ni Mlima na Msumbiji ni nchi .Duh...mkuu upo serious! Mlima Kilimanjaro na Msumbiji wapi na wapi? hahahahaha!
Wakenya wanaongelea mlima Kilimanjaro upo nchini mwao,kwa sababu Wakenya wengi ni vilaza,hawajui Geography.Wengine wachache wanatumia hiyo proganda kujinufaisha kibiashara!Kwa miaka mingi kumekuwepo na baadhi ya wakenya wamekuwa wakisema na kutangaza huko duniani kuwa Mlima Kilimanjaro unapatikana ndani ya nchi yao
Upo sawa hizo ndege zikiingia katika anga la tanzania huwa wanakula round moja ya ziada kuwatembeza waliomo katika maeneoa ya mountains views kwa kijisababu cha kutua KIA.Hata sisi Watanzania wenyewe ni VILAZA tu. Hatuweki nguvu stahiki kujitangaza mlima Kilimanjaro. Kwa mfano kuna zile Ndege kubwa za Dreamliners 2 alizonunua Meko, huwezi kuamini majina ziliyopewa. Najuwa moja imeandikwa Rubondo Island.
Wakati Ndege za Kenya au mabango ya Ethiopian Airways na KLM yanasema kuwa Ndege zao zinaweza kukufikisha kuiona Serengeti National Park na Mt Kilimanjaro.
Tusiwalaumu Wakenya, sisi tupo kujikomba kwa Meko. Sijui itakuwaje mashine ya oxygen ikizimwa
Ila pia zimeandikwa the wings of kilimanjaro ndege zote za air tanzaniaHata sisi Watanzania wenyewe ni VILAZA tu. Hatuweki nguvu stahiki kujitangaza mlima Kilimanjaro. Kwa mfano kuna zile Ndege kubwa za Dreamliners 2 alizonunua Meko, huwezi kuamini majina ziliyopewa. Najuwa moja imeandikwa Rubondo Island.
Wakati Ndege za Kenya au mabango ya Ethiopian Airways na KLM yanasema kuwa Ndege zao zinaweza kukufikisha kuiona Serengeti National Park na Mt Kilimanjaro.
Tusiwalaumu Wakenya, sisi tupo kujikomba kwa Meko. Sijui itakuwaje mashine ya oxygen ikizimwa
Mibange imeanza kutaga!Mbona wauzaji wakuu wa Tanzanite ni wasouth na wakenya?
,Kwa miaka mingi kumekuwepo na baadhi ya wakenya wamekuwa wakisema na kutangaza huko duniani kuwa Mlima Kilimanjaro unapatikana ndani ya nchi yao
Ni jambo ambalo limekuwa likiendelea kwa muda mrefu sana,mpaka kufikia kwa baadhi ya wageni( watalii) kutoka nchi mbalimbali duniani, kuamini kuwa mlima huo mrefu kabisa barani Africa kweli unapatikana nchini Kenya
Ukipata muda tafuta kitabu kinaitwa
"Why Tanzania is where it is: Tanzania's Colonial Boundaries from the Berlin Conference, 1884-1885 until its independence" kitabu hiki kimeandikwa na mjerumani Profesa Heinz Schneppen
Kwenye kitabu hicho, kinaeleza kuwa kabla ya mwaka 1890 mlima Kilimanjaro na bandari ya Mombasa, zote zilikuwa Kenya,
kwenye himaya ya waingereza
Lakini baadaye kukawa na mabishano makubwa sana, kati ya waingereza na wajerumani kwenye kugombea umiliki wa ziwa Victoria
Sababu kubwa ya mabishano hayo, ilikuwa ni kutafuta chanzo cha mto Nile, ndani ya ziwa Victoria, kwa sababu kwa wakati huo, ilikuwa ukipata chanzo cha mto Nile unakamata Sudan , Misri na bahari ya Mediterranean,ambayo ilikuwa ni muhimu sana kwa wakati kwa sababu ya usafirishaji kwa bara la ulaya
Baada ya Uingereza kupata chanzo cha mto Nile, kule Jinja nchini Uganda, ndipo wakakubaliana kuchora mipaka upya kupitia mkataba wa Ango- Germany treaty wa tarehe 01 July 1890, ambapo Ujerumani walipewa 51% ya ziwa Victoria
Ndipo mpaka wa himaya ya wajerumani (Tanganyika) ukahama kutoka kusini ya Musoma na kupanda juu mpaka kaskazini ya Musoma haya yameelezwa kwenye kitabu kinaitwa "International boundaries of East Afrika", kilichoandikwa na A.C McEwen mwaka 1971
Ambapo sasa mlima Kilimanjaro na Mombasa zote zikaangukia ndani ya himaya ya wajerumani ( Tanganyika)
Kwa hiyo sasa, bandari zote katika pwani ya Afrika mashariki, zikawa zimeingia ndani ya himaya ya wajerumani ( Tanganyika)
Ndipo Waingereza wakaomba kupewa Mombasa ili na wao wawe na bandari
Na ndio mstari ule wa mpaka ukapindishwa pale kwenye mlima Kilimanjaro na kunyosha mpaka chini, ili Mombasa iwe ndani ya himaya ya Waingereza
Nadhani ndio sababu mpaka leo Wakenya wengi wanaamini mlima Kilimanjaro ni mali yao, kitu ambacho sio sahihi, Mlima Kilimanjaro uko Tanzania, kutokana na mipaka iliyochorwa na wakoloni
[emoji23][emoji16][emoji39][emoji23][emoji6]Hata mwana mpotevu kapotela Kenya