Kwanini Wakenya wengi wanasema mlima Kilimanjaro uko nchini kwao?

Superb! Excellent! Historia nzuri sana. Kumbe mchora msitari ali,uwa ameweka kidoke chake kwvenye rule pale mlimani, I,akota kona ipo hadi leo. Inadhirisha finally wakoloni walivyotuchezea, wengine wanasema Queen Victoria alitoa hepibethidei kwa Fuehrer wa Ujeremani akampa Mlima Kilimanajaro. Lakini kusema kweli view nzuri kabisa ya Mlima utaiona ukiwa Kijiji cha Lukani (kwa kina Mhe. Sashisha, huyu mbunge aliyemng'oa Mbowe). View nzuri ya pili ni kutoka upande wa pili, mbuga ya wanyama ya Amboseli nji ya Kenya. Walie tu!
 
Kwa miaka mingi kumekuwepo na baadhi ya wakenya wamekuwa wakisema na kutangaza huko duniani kuwa Mlima Kilimanjaro unapatikana ndani ya nchi yao
Wakenya wanaongelea mlima Kilimanjaro upo nchini mwao,kwa sababu Wakenya wengi ni vilaza,hawajui Geography.Wengine wachache wanatumia hiyo proganda kujinufaisha kibiashara!
 
Hata sisi Watanzania wenyewe ni VILAZA tu. Hatuweki nguvu stahiki kujitangaza mlima Kilimanjaro. Kwa mfano kuna zile Ndege kubwa za Dreamliners 2 alizonunua Meko, huwezi kuamini majina ziliyopewa. Najuwa moja imeandikwa Rubondo Island.

Wakati Ndege za Kenya au mabango ya Ethiopian Airways na KLM yanasema kuwa Ndege zao zinaweza kukufikisha kuiona Serengeti National Park na Mt Kilimanjaro.

Tusiwalaumu Wakenya, sisi tupo kujikomba kwa Meko. Sijui itakuwaje mashine ya oxygen ikizimwa
 
Upo sawa hizo ndege zikiingia katika anga la tanzania huwa wanakula round moja ya ziada kuwatembeza waliomo katika maeneoa ya mountains views kwa kijisababu cha kutua KIA.
 
Kenya haijawahi kusema Mlima Kilimanjaro uko kwao. Wanakuwa wanawaambia watu wanaina gani wasiofahamu historia??

Wanachokifanya ni hiki - kuonesha kuwa wanaweza kukufikisha mlima kilimanjaro kwa urahisi na kukupa unforgatable experiences. Na walifanya hivo baada ya kuona sisi tumelala hatuutangazi inavotakiwa!!

Tulikuwa wazembe kwa mambo mengi. Ni bora sasa hivo baada ya kuishikilia technolojia!!
 
Ila pia zimeandikwa the wings of kilimanjaro ndege zote za air tanzania
 
Hiyo stori yako haileti maana namna kilimanjaro ilivyotoka Kenya kuja Tanzania.

Msitupandikize hadithi za kutunga.
 
[emoji1787][emoji1787] I think your point is about people reading the book. We know it all whether or without the book but helpful to readers thanks. We all studied here in Tanzania born and raised and we all know about our country there is no need to insist us on the boundaries and Mt kili we appreciate but we know. I think one should create a greater argument than this, huu si ubunifu au si hoja yenye nguvu nadhani Landa ungeleta hoja kama nini kifanyike ili Tanzania inufaike na mjusi wake alio ujerumani. Something like that, so that everyone does lay out their thoughts on how it should be handled, these are the current issues living but your boundaries thing it's done Kunyaland watapambana hali yao. Hoja yako nzuri but in a wrong time and century, bora ungeleta Hoja kwann kiwanda cha korosho kiwe kaskazini na SIO KOSINI?! NI MTAZQMO TU ,
 
Jk kaacha Udom, Chuo cha Mandela, ESAMI, B,Mkaka hosp, Mwl Nyerere, JKCI, Chuo cha Mipango, MOi, barabara kibao, madaraja, ajira n.k lakini hatukuwahi kumuona anajisifia hata siku moja.
 
Mombasa ni eneo la Zanzibar na haikuwahi kuwa chini ya himaya nyengine yoyote kabla kukodishwa watawala wa Kenya na Mfalme wa Zanzibar. Bahati mbaya mapinduzi ya Zanzibar ya 64 yamesambaratisha mambo mengi ambayo yamezikwa mpaka hii leo, no wonder British/ U.S/ Israel pamoja na mataifa ya E.A Tanganyika, Kenya na Uganda wote wote walihusika directly na yale mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…