Kwanini Wakerewe wengi hawapendi kujenga nyumba Ukerewe?

Kwanini Wakerewe wengi hawapendi kujenga nyumba Ukerewe?

patience96

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,353
Reaction score
574
Salaam wana JF.

Wilaya ya Ukerewe ni kisiwa chenye hazina ya wasomi kibao ktk nyanja tofauti tofauti! Hadi mwaka 2005 kulikuwa na Ma-Professor takribani 65 ukiacha wachache kama Prof. Machunda waliotangulia mbele ya haki. Tatizo la wana UK hawana utamaduni wa kujenga nyumba makwao. Mkerewe yuko radhi kujenga nyumba tatu au nne hivi mikoa ya Mwz, Dsm, Arusha n.k. na sio Ukerewe. Why???

Anyway baadhi yao wameanza kuonyesha
nia. Mfano: mama yetu wa Beijing (ex MP Ukerewe); Mzee wetu wa sauti nzito (ex speaker wa bunge); Dr. X , Bingwa wa magonjwa ya moyo Muhimbili; Pr. Migiro; ukweni kwa Waziri wa umeme n.k. Hawa mambo yao ni mazuri makwao/ukweni na baadhi ya wengine. Nauliza kwanini wengi wao hawapendi kujenga makwao hali uwezo wanao???

Wenyewe wana msemo: 'Omukerebe ni mpere, okunyama waginyamila bhe'
 
wanaogopa kuliwa na 'bulalo'(mamba); kuna bulalo wengi pale Mahande, Bugolora, Muriti, Rubya, Kazilankanda, Murutunguru, kakukuru n.k.
 
Wanaogopa uchawi. Watu wanabandika orodha kwenye mti ya watu watakao kufa kwa hiyo na kweli wote wanakufa.

Mwezi mzima watu wanapishana na jeneza liko peke yake njiani linahama vijiji.
Hata mimi sirudi huko.
 
Wanaogopa uchawi. Watu wanabandika orodha kwenye mti ya watu watakao kufa kwa hiyo na kweli wote wanakufa.

Mwezi mzima watu wanapishana na jeneza liko peke yake

njiani linahama vijiji.
Hata mimi sirudi huko.

Kweli mkuu; kuna nyumba nzuri sana pale
Galu karibu na kijiji cha ujamaa (zamani); mwenyewe alitoweka mara baada ya kukamilisha nyumba yake; mdogo wake hakuweza kukaa ktk nyumba ile zaidi ya siku 5; sasa hivi hakai mtu yoyote. Nyumba yenyewe iko bomba na umeme upo.

pale
 
Salaam wana JF.

Wilaya ya Ukerewe ni kisiwa chenye hazina ya wasomi kibao ktk nyanja tofauti tofauti! Hadi mwaka 2005 kulikuwa na Ma-Professor takribani 65 ukiacha wachache kama Prof. Machunda waliotangulia mbele ya haki. Tatizo la wana UK hawana utamaduni wa kujenga nyumba makwao. Mkerewe yuko radhi kujenga nyumba tatu au nne hivi mikoa ya Mwz, Dsm, Arusha n.k. na sio Ukerewe. Why???

Anyway baadhi yao wameanza kuonyesha
nia. Mfano: mama yetu wa Beijing (ex MP Ukerewe); Mzee wetu wa sauti nzito (ex speaker wa bunge); Dr. X , Bingwa wa magonjwa ya moyo Muhimbili; Pr. Migiro; ukweni kwa Waziri wa umeme n.k. Hawa mambo yao ni mazuri makwao/ukweni na baadhi ya wengine. Nauliza kwanini wengi wao hawapendi kujenga makwao hali uwezo wanao???

Wenyewe wana msemo: 'Omukerebe ni mpere, okunyama waginyamila bhe'

mkuu , msemo huo maana yake: 'kikulacho ki nguoni mwako'
Ukifika kule Ukara (sehemu ya Ukerewe), mwenyeji wako atakukaribisha kwa kuita
Mamba aje akusalimie, wanasema: 'bulalo
Ija/jangu umukyese omugenyi' Sitarudi tena kule sehemu za Kulutare! Ni balaa!
 
haha...ha..! Nikukesya??
 
Usiku unaweza ghafla ukakutana na chief Lukumbuzya, mtemi wa wakerewe pale motel Galu- Nansio.
 
Hata nyumbani hawaendi kutembelea ndugu na jamaa. Likizo zao uishia Mwanza tu. Wanaobahatika kwenda likizo Ukerewe, ujifungia ndani ya nyumba siku 28; siku ya kuondoka wanaamka saa 11 alfajiri na kuondoka kimya kimya na meli ya Clarius saa 2 asb.
 
Hii habari naikumbuka kuhusu ile nyumba pale Nakatunguru, ila wakati huo niliskia ilinunuliwa na yule mganga maarufu wa kule mkoani Mara ila kwao ni Ukerewe ( Mganga Mafwere), sasa sielewi kama ni kweli hawakai watu mpaka leo, nitalifanyia kazi, ngoja nizibe pancha ya baskeli yangu hapa kwa mzee Mgeta.....
 
Back
Top Bottom