BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
wanaogopa sayansi ya kiafrica, mjusi anageuzwa mamba anakufanya lunch.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa uchawi. Watu wanabandika orodha kwenye mti ya watu watakao kufa kwa hiyo na kweli wote wanakufa.
Mwezi mzima watu wanapishana na jeneza liko peke yake njiani linahama vijiji.
Hata mimi sirudi huko.
tet te tee hii sijawahi kuisikia. Imeanza hivi karibuni nini. Nimezaliwa na kusoma kule hadi kidato cha nne.Kuna kitu inaitwa o msendekelezte..hiyo inakusindikiza. Yani haufii ukerewe, unaondoka salama utakapofika unapokwenda ndo unakufa..nina ushahidi.
Salaam wana JF.
Wilaya ya Ukerewe ni kisiwa chenye hazina ya wasomi kibao ktk nyanja tofauti tofauti! Hadi mwaka 2005 kulikuwa na Ma-Professor takribani 65 ukiacha wachache kama Prof. Machunda waliotangulia mbele ya haki. Tatizo la wana UK hawana utamaduni wa kujenga nyumba makwao. Mkerewe yuko radhi kujenga nyumba tatu au nne hivi mikoa ya Mwz, Dsm, Arusha n.k. na sio Ukerewe. Why???
Anyway baadhi yao wameanza kuonyesha
nia. Mfano: mama yetu wa Beijing (ex MP Ukerewe); Mzee wetu wa sauti nzito (ex speaker wa bunge); Dr. X , Bingwa wa magonjwa ya moyo Muhimbili; Pr. Migiro; ukweni kwa Waziri wa umeme n.k. Hawa mambo yao ni mazuri makwao/ukweni na baadhi ya wengine. Nauliza kwanini wengi wao hawapendi kujenga makwao hali uwezo wanao???
Wenyewe wana msemo: 'Omukerebe ni mpere, okunyama waginyamila bhe'