Kwanini Wakerewe wengi hawapendi kujenga nyumba Ukerewe?

wanaogopa sayansi ya kiafrica, mjusi anageuzwa mamba anakufanya lunch.....
 
Wanaogopa uchawi. Watu wanabandika orodha kwenye mti ya watu watakao kufa kwa hiyo na kweli wote wanakufa.

Mwezi mzima watu wanapishana na jeneza liko peke yake njiani linahama vijiji.
Hata mimi sirudi huko.

Mkuu,
Yaani uchawi ni adui mkubwa sana wa maendeleo kwa Afrika yote kwa ujumla. Nilikuwa naangalia BBC siku moja wakaonyesha watu wa Benin wanavyofanya ibada za majoka (Voodu) halafu wanadai eti wao wote ni wakatoliki nilichoka. Hali zao ni mbaya sana na ukiangalia kwa undani ni hizi imani za kishirikina ndo zinasabisha hayo yote. Pia huko kijijini kwetu ndo angalau kwa sasa kuna mwamko kidogo lakini zamanai watu walikuwa wanogopa kuwa na nyumba nzuri hata kama wano uwezo wa kujenga, kisa walikuwa wanaogopa kulogwa. Kwa wenzetu wachaga wameendelea kutokana na rate ya uchawi kuwa ndogo japo kwa sasa ni washirika wakubwa wa ushirikina kutokana na biashara zao.
 
O mwanonu bozo,!Chulera! A magambo gandi tigasemelere..ulababwache!
 
Kuna kitu inaitwa ‘o msendekelezte‘..hiyo inakusindikiza. Yani haufii ukerewe, unaondoka salama utakapofika unapokwenda ndo unakufa..nina ushahidi.
 
Kuna kitu inaitwa ‘o msendekelezte‘..hiyo inakusindikiza. Yani haufii ukerewe, unaondoka salama utakapofika unapokwenda ndo unakufa..nina ushahidi.
tet te tee hii sijawahi kuisikia. Imeanza hivi karibuni nini. Nimezaliwa na kusoma kule hadi kidato cha nne.
 
ulimuyasha waga bukelebe???
 
inawezekana ikawa kuna ukweli ndani yake mi nyumbani ni Gallu ndo asili yetu na nimewahi fika mara moja tu mwaka 99,nikiwa mwanafunzi pale musoma tech,ukweli nimekumbana na mikasa mingi sana na kila ninapokwenda naambiwa lazima niende kule kijijini ndo kwenye suluhisho langu.

pale[/QUOTE]
 
ukerewe siyo ciri ni nina lakini,pia hii ni asili ya kabila langu hili kutokujali nuumbani,nipo nao wengi sana huku mbeya na hawaana kabisa mpango na uk.
 
inawezekana ikawa kuna ukweli ndani yake mi nyumbani ni Gallu ndo asili yetu na nimewahi fika mara moja tu mwaka 99,nikiwa mwanafunzi pale musoma tech,ukweli nimekumbana na mikasa mingi sana na kila ninapokwenda naambiwa lazima niende kule kijijini ndo kwenye suluhisho langu.

pale[/QUOTE]
 
inawezekana ikawa kuna ukweli ndani yake mi nyumbani ni Gallu ndo asili yetu na nimewahi fika mara moja tu mwaka 99,nikiwa mwanafunzi pale musoma tech,ukweli nimekumbana na mikasa mingi sana na kila ninapokwenda naambiwa lazima niende kule kijijini ndo kwenye suluhisho langu.

pale[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…