Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Moral consciousness ndiyo inafanya kitu hata kama kina faida ya kiuchumi kikataliwe.Mora consciousness ni sababu mojawapo tu, utumwa ulisababishwa na mambo mengi na ulimalizwa kwa sababu mbalimbali mojawapo muhimu zaidi ikiwemo ya uchumi, huu uzi nimetaka kupata perspective ya kidini kuhusu utumwa kama mungu alichukulia ni uovu au jambo la kawaida kwa kipindi hicho.
Ndiyo maana kuna watu wana moral conciousness kubwa wanaweza kujiuza wakapata hela lakini wanakataa kufanya hivyo.
Huelewi wapi?
Perspective ya kidini nishakupa hapo juu, huko mwanzo watu waliamini sana vitabu vya dini wakaona utumwa ni sawa kwa sababu umeruhusiwa kwenye vitabu vya dini.
Elimu ilivyozidi wakaona hivi vitabu ni ujinga mtupu, utumwa haufai, wakaacha.