Kwanini Wakristo na Waislamu wa zamani walichukulia utumwa kama jambo la kawaida ni sio uovu?

Moral consciousness ndiyo inafanya kitu hata kama kina faida ya kiuchumi kikataliwe.

Ndiyo maana kuna watu wana moral conciousness kubwa wanaweza kujiuza wakapata hela lakini wanakataa kufanya hivyo.

Huelewi wapi?

Perspective ya kidini nishakupa hapo juu, huko mwanzo watu waliamini sana vitabu vya dini wakaona utumwa ni sawa kwa sababu umeruhusiwa kwenye vitabu vya dini.

Elimu ilivyozidi wakaona hivi vitabu ni ujinga mtupu, utumwa haufai, wakaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…