Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Mada ya kulinganisha Dini kwenye umiliki mali nk kwa Tanzania hii si sawa kabisaaa
 
Waislam ni matajiri na wanaishia kuwajengea misikiti na sio shule wana hospitals
 
Hayo mambo ya kutoa kafara,mazezeta kumiliki majini aisee wakristo hawanaga hizo mbanga
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo...
Ukiwa kusini mwa Dar es salaam(Manispaa ya Temeke) Misikiti ni Mingi Sana na Waislam ni Wengi Sana Ila ukiwa Kaskazini mwa Dar es Salaam Manispaa ya Kinondoni Makanisa ni mengi Sana na Wakristo ni Wengi Sana.

Hali za uchumi kusini mwa Dar es salaam ni Duni Ukilinganisha na Kaskazini Mwa Dar es salaam Kuna unafuu Sana wa kipato.

Sasa kwa hoja yako angalia Uhalisia hapa Tz.
 
Sio kila mtu ana ndoto ya kuwa tajiri, na hakuna uhusiano kati ya dini na utajiri, vinginevyo weka facts mezani!!
 
Ukweli matajiri wakubwa ni waislam , wakristo matajiri wachache na wa kawaida.
Also masikini nganganga ni waislam pia.
Hivi mnafaham umaskin ulioko Pemba?
Kajana unataka kuoa mwarabu mpemba nenda Pemba leo, mchane nakuoa nakupeleka bara uone ilivyo rahisi
 
Wengi wanaotufundisha ndio shida .
Wanaaminisha ili uwe Tajiri lazima utoe Sadaka na zaka ili mchungaji awe Tajiri kisiri.

Hawaambiwi wanatakiwa kutoa zaka na Sadaka kwa sababu wametajirika.

Wakristo kutokuwa matajiri Ni uzembe ambao wayahudi hawajafanya kwenye maandiko hasa ya agano la kale ambayo ukiyatumia vzr unatajirika Kama unapebda.
 
mhmm, endelea kujidanganya
kwani hii dunia inaongozwa na nani ?,
nchi zinazongoza kwa utajiri ni nchi zipi.
Saudi Arabi pamoja na kuonekana ndo nchi tajiri ya kiisilama, ina uchumi mdogo kuliko hata south korea,
south korea nchi za magharibi zianiona cha mtoto tu
 
Back
Top Bottom