wakristo maskini walojawa na ustaarabu mkubwa kuliko matajiri magaidiAkili mtu wangu akili.
Wakristo wameharibiwa akili..yaani wanachezewa akili kwa kuaminishwa vitu vya uongo. Mfano wanaamini kuwa kila kitu hupangwa na Mungu...
KweliiiiiWakristo hawafugi majini, nasema uongo ndugu zangu?
Ukiwa kusini mwa Dar es salaam(Manispaa ya Temeke) Misikiti ni Mingi Sana na Waislam ni Wengi Sana Ila ukiwa Kaskazini mwa Dar es Salaam Manispaa ya Kinondoni Makanisa ni mengi Sana na Wakristo ni Wengi Sana.Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo...
Kwa nn wasiwepo?Wapo kwenye orodha ya matajiri Tanzania na Africa mashariki?
Assets ni wafuasi wao,biashara yenye faida duniani ni kufungua kanisa au kuuza madawa ya kulevyaKwa hiyo Wachungaji ni matajiri sana? Wana assets na investments gani?
Duh. Kwa hiyo polisi wanapigwa maombi wanaona madawa ni kama Biblia?Assets ni wafuasi wao,biashara yenye faida duniani ni kufungua kanisa au kuuza madawa ya kulevya
Umeandika nini,you can express your self in English if you can't Swahili..Duh. Kwa hiyo polisi wanapigwa maombi wanaona madawa ni kama Biblia?
Ukoje UTAJIRI WA Rohoni?Hili ndilo kosa la kusoma Biblia kama kitabu Cha hadithi.
Utajiri unaosemwa hapa siyo wa Mali kama unavyotafsiri, ni utajiri wa rohoni.