Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu a.s na kumuonesha akiwa kichanga kilichozungukwa na maporomoko ya majengo huku akivalishwa skafu ya chama cha Fatah.
Muhimu ninachotaka kuuliza hapa hivi kuna umuhimu wowote wa wakiristo wengine duniani kusherehekea krismas ilhali pale alipozaliwa Mtume huyo kipenzi pakiwa pako kimya kabisa.