Hao watu na mnuso hauwezi kuwaambia kituBaraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu a.s na kumuonesha akiwa kichanga kilichozungukwa na maporomoko ya majengo huku akivalishwa skafu ya chama cha Fatah.
Muhimu ninachotaka kuuliza hapa hivi kuna umuhimu wowote wa wakiristo wengine duniani kusherehekea krismas ilhali pale alipozaliwa Mtume huyo kipenzi pakiwa pako kimya kabisa.
ina maana chatu akiingia katika zizi la kuku huwezi kumuua ikiwa siku hiyo ni xmass? au huwezi kupiga kelelele za mwizi kama kibaka kakuibia bahasha ya mshalala siku ya xmass? kwa nini hao waarabu wa bethlehemu wasilaani Hamas na kuiamuru iachie mateka wote iliyowashililia?Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu a.s na kumuonesha akiwa kichanga kilichozungukwa na maporomoko ya majengo huku akivalishwa skafu ya chama cha Fatah.
Muhimu ninachotaka kuuliza hapa hivi kuna umuhimu wowote wa wakiristo wengine duniani kusherehekea krismas ilhali pale alipozaliwa Mtume huyo kipenzi pakiwa pako kimya kabisa.
Yaan usitishe kufanya mapumziko yako kisa wapuuz waliojitakia vita. Waache wale kichapo Mzee. Ukitaka kuruka uagane na nyonga sio unalialia kwa ujinga ulioanzisha mwenyeweBaraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu a.s na kumuonesha akiwa kichanga kilichozungukwa na maporomoko ya majengo huku akivalishwa skafu ya chama cha Fatah.
Muhimu ninachotaka kuuliza hapa hivi kuna umuhimu wowote wa wakiristo wengine duniani kusherehekea krismas ilhali pale alipozaliwa Mtume huyo kipenzi pakiwa pako kimya kabisa.
Subiri siku ya Idd msisherekee kuombelezaBaraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu a.s na kumuonesha akiwa kichanga kilichozungukwa na maporomoko ya majengo huku akivalishwa skafu ya chama cha Fatah.
Muhimu ninachotaka kuuliza hapa hivi kuna umuhimu wowote wa wakiristo wengine duniani kusherehekea krismas ilhali pale alipozaliwa Mtume huyo kipenzi pakiwa pako kimya kabisa.
Hao waachane na mambo ya siasa, Waislam wenyewe wanasherekea Christmas sembuse Wakristu ?Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu a.s na kumuonesha akiwa kichanga kilichozungukwa na maporomoko ya majengo huku akivalishwa skafu ya chama cha Fatah.
Muhimu ninachotaka kuuliza hapa hivi kuna umuhimu wowote wa wakiristo wengine duniani kusherehekea krismas ilhali pale alipozaliwa Mtume huyo kipenzi pakiwa pako kimya kabisa.
Tunasherehekea kumuunga mkono Netanyahu aendelee kuyafumua mahamasBaraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu a.s na kumuonesha akiwa kichanga kilichozungukwa na maporomoko ya majengo huku akivalishwa skafu ya chama cha Fatah.
Muhimu ninachotaka kuuliza hapa hivi kuna umuhimu wowote wa wakiristo wengine duniani kusherehekea krismas ilhali pale alipozaliwa Mtume huyo kipenzi pakiwa pako kimya kabisa.
Swadakta ngoja wasubiri sikukuu ya idd tuone kama watafanyq hivyo
Kwa hivyo unapingana na ufahamu wa wakristo pale alipozaliwa Yesu na unakubali ufahamu wa papa Francis peke yake ambaye yuko mbali sana na asili ya Yesu a.sina maana chatu akiingia katika zizi la kuku huwezi kumuua ikiwa siku hiyo ni xmass? au huwezi kupiga kelelele za mwizi kama kibaka kakuibia bahasha ya mshalala siku ya xmass? kwa nini hao waarabu wa bethlehemu wasilaani Hamas na kuiamuru iachie mateka wote iliyowashililia?
Tuna huruma sana na vifo vya watanzania wenzetu japo kuna utata juu ya vifo vyao.Sababu na pahala walipouliwa.Nataraji umeshasoma nyuzi nyengine juu ya suala hilo.WEWE MLETA MADA HII SIO RAIA WA TANZANIA. Hamas Kaua watanzania wawili halafu bado unaishabikia miarabu miuaji ya kipalestina1 AU SABABU WALE WALIOUWAWA NI WAKRISTO NDO MAANA HAIKUUMI KAMA IKUUMAVYO MIPALESTINA IKINYONGWA!
Yeah!...ila wahusika wa huo mzozo kwa miaka mingi waliuvisha sura ya kidini ili kupata uungwaji mkono kutoka kila pande za duniaVita au mapigano kati ya Israel na Palestina hayajakaa kidini.
Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.