Kwanini wakulima wa Bangi hawalimi Cocaine au madawa mengine yenye faida kubwa zaidi wakati vifungo vya kulima dawa za kulevya vinafanana?

Natamani niongee kitu ila acha nitulie kwa usalama wangu...
But notice kile nilichoandika juu kina majibu tosha ya maswali yako maana natamani niongee kwa utalamu kabisa ila sizani ka utaelewa hata hizo poppy species...
Hukujibu maswali yote mtaaluma . Je hizo condition haziwezi kutengenezeka maabara? Kama mtoto anaweza kuzalishwa maabara itakua mmea ?
 
Sababu kubwa ni utamaduni na mazoea. Heroine Afghan, Coca Latin America, Mirungi & mkokha Kenya, Banghi Bongo. Tanzania ikifika zama za kuongozwa na Serikali ya watu waliozaliwa 1990s & 2000s yote hayo yatakuwa mazao halali ya kibiashara.
 
Kaka mkubwa upo kama winger yule wa tik tok mda huo huo utasema una degree ya umeme😹 mara information tech sahz wewe ni afisa kilimo na mifugo
 
Soko la bangi ni kubwa na lipo karibu zaidi. Wauzaji na wanunuzi wapo ndani ya nchi, tofauti na cocaine na heroine ambazo soko lake kubwa lipo nje ya nchi. Hii inamaanisha gharama za usafirishaji ni ndogo na hatari ya kukamatwa ni ndogo pia.
 
Soko la bangi ni kubwa na lipo karibu zaidi. Wauzaji na wanunuzi wapo ndani ya nchi, tofauti na cocaine na heroine ambazo soko lake kubwa lipo nje ya nchi. Hii inamaanisha gharama za usafirishaji ni ndogo na hatari ya kukamatwa ni ndogo pia.
Watumiaji wapo ndio maana kuna sober house kibao, watu hutumia mpaka laki kila siku kwajili ya madawa tofauti na bangi za jero jero.

Kundi lingine ni Punda wanaotajirika fasta kwa kubebeshwa mizigo kwenda nchi nyingine, mifano ni wasanii waliowahi kuwa maarufu
 
Kuna kitu kama unakihitaji mwamba hebu spill the beans . I'm interested
 
Post harvest processing ndiyo shida. Nchi nyingi South America kilimo cha coca na matumizi majani yake vinaruhusiwa. Lakini kuiprocess iwe cocaine ni kosa. Lab nyingi za kuprocess cocaine zipo misituni zimefichwa. Kwa Africa hili linawezekama nchi kama Congo, CAR, S. Sudan na kama hizo zenye misitu na serikali dhaifu.

Pia kuna mimea ya coca ya asili Africa. Tungeanza kuangalia kwanzq hiyo.

Popy(Afyuni) haifai, tuwaachie wataliban.
 
Kaka mkubwa upo kama winger yule wa tik tok mda huo huo utasema una degree ya umeme😹 mara information tech sahz wewe ni afisa kilimo na mifugo
It's impossible simultaneously to determine both my positions and momentum ...
I know to move better... Ukisema unipinge ni sawa na kumpinga Heinsberg... (Uncertainty principle)
 
Mtoa mada pia ufahamu kuwa ukishalima hiyo coca sio kwamba inakuwa cocaine muda huo huo kama ilivyokuwa bangi, hapana sivyo hivyo, mpaka kubadilisha yale majani kuwa unga process yake ni ndefu ina inahitaji maabara kamili na wataalamu, kwa bongo hii walima bangi wanatoa wapi mtaji huo?
 
TARI watutengenezee mbegu zinazokubali kuota kwenye maeneo yetu.
 
Utamuuzia nani kwa sababu bangi rahisi kuinadilisha kuwa end product wakati mfano cocaine inahitaji maabara kuitengeneze ambayo inahusisha pia chemicals na wakemia au watu wenye uzoefu.
Hivyo wakilima watamuuzia nani hapa? Nani yuko tayari kutake risk ya kuwa na maabara hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…