Kwanini wakulima wa Bangi hawalimi Cocaine au madawa mengine yenye faida kubwa zaidi wakati vifungo vya kulima dawa za kulevya vinafanana?

Kwanini wakulima wa Bangi hawalimi Cocaine au madawa mengine yenye faida kubwa zaidi wakati vifungo vya kulima dawa za kulevya vinafanana?

Natamani niongee kitu ila acha nitulie kwa usalama wangu...
But notice kile nilichoandika juu kina majibu tosha ya maswali yako maana natamani niongee kwa utalamu kabisa ila sizani ka utaelewa hata hizo poppy species...
Hukujibu maswali yote mtaaluma . Je hizo condition haziwezi kutengenezeka maabara? Kama mtoto anaweza kuzalishwa maabara itakua mmea ?
 
Sababu kubwa ni utamaduni na mazoea. Heroine Afghan, Coca Latin America, Mirungi & mkokha Kenya, Banghi Bongo. Tanzania ikifika zama za kuongozwa na Serikali ya watu waliozaliwa 1990s & 2000s yote hayo yatakuwa mazao halali ya kibiashara.
 
Naomba nikujibu kitaalamu zaida..
Kama mtaalamu kutoa sokoine university of agriculture..

Kwanza kabisa ujue kuwa hili zao mpaka unaona limekua na kuanza kutumika jua kabisa kuna conductive environment ambazo zinassaport huu mmea

Kwanza kabisa ni soil PH
Hapa tunaangalia kiwango cha Soil acidity, Water acidity, Chlorosis and leaf distortion.
Sasa kwa kipengele hiko tuu kupata exactly soil ya hii plant ni ngumu

Oky hata tukisema tuweke hii condition kuna kitu kinaitwa climate..

Hivo mpaka inafikia hatua ya mmea huu kukua basi lazima hizo factor zote ziwe clear..

Je kwa hapa tanzania ni mkoa gani unaweza sapport hiko kilimo.
Ni hpa hapa dar salam ila ni chanika huko.mipekooo hukooo ndani ndani
Kaka mkubwa upo kama winger yule wa tik tok mda huo huo utasema una degree ya umeme😹 mara information tech sahz wewe ni afisa kilimo na mifugo
 
Soko la bangi ni kubwa na lipo karibu zaidi. Wauzaji na wanunuzi wapo ndani ya nchi, tofauti na cocaine na heroine ambazo soko lake kubwa lipo nje ya nchi. Hii inamaanisha gharama za usafirishaji ni ndogo na hatari ya kukamatwa ni ndogo pia.
 
Soko la bangi ni kubwa na lipo karibu zaidi. Wauzaji na wanunuzi wapo ndani ya nchi, tofauti na cocaine na heroine ambazo soko lake kubwa lipo nje ya nchi. Hii inamaanisha gharama za usafirishaji ni ndogo na hatari ya kukamatwa ni ndogo pia.
Watumiaji wapo ndio maana kuna sober house kibao, watu hutumia mpaka laki kila siku kwajili ya madawa tofauti na bangi za jero jero.

Kundi lingine ni Punda wanaotajirika fasta kwa kubebeshwa mizigo kwenda nchi nyingine, mifano ni wasanii waliowahi kuwa maarufu
 
Watumiaji wapo ndio maana kuna sober house kibao, watu hutumia mpaka laki kila siku kwajili ya madawa tofauti na bangi za jero jero.

Kundi lingine ni Punda wanaotajirika fasta kwa kubebeshwa mizigo kwenda nchi nyingine, mifano ni wasanii waliowahi kuwa maarufu
Kuna kitu kama unakihitaji mwamba hebu spill the beans . I'm interested
 
Post harvest processing ndiyo shida. Nchi nyingi South America kilimo cha coca na matumizi majani yake vinaruhusiwa. Lakini kuiprocess iwe cocaine ni kosa. Lab nyingi za kuprocess cocaine zipo misituni zimefichwa. Kwa Africa hili linawezekama nchi kama Congo, CAR, S. Sudan na kama hizo zenye misitu na serikali dhaifu.

Pia kuna mimea ya coca ya asili Africa. Tungeanza kuangalia kwanzq hiyo.

Popy(Afyuni) haifai, tuwaachie wataliban.
 
Kaka mkubwa upo kama winger yule wa tik tok mda huo huo utasema una degree ya umeme😹 mara information tech sahz wewe ni afisa kilimo na mifugo
It's impossible simultaneously to determine both my positions and momentum ...
I know to move better... Ukisema unipinge ni sawa na kumpinga Heinsberg... (Uncertainty principle)
 
Mtoa mada pia ufahamu kuwa ukishalima hiyo coca sio kwamba inakuwa cocaine muda huo huo kama ilivyokuwa bangi, hapana sivyo hivyo, mpaka kubadilisha yale majani kuwa unga process yake ni ndefu ina inahitaji maabara kamili na wataalamu, kwa bongo hii walima bangi wanatoa wapi mtaji huo?
 
Nadhani unamaanisha coca plants??

Hii kitu huwezi kuipanda tu popote ikakua, hata huko south America ambapo wanalima Sana nadhani inakubali tu sehemu yenye milima/muinuko mkali, Kuna kipindi nchi kama Ghana, Ivory coast na Nigeria walijaribu ila hawakupata matokeo chanya


Ni sawa kipindi kile ma apple ya tanga, huwezi yalinganisha ni ya south Africa....


Hii nadhani inatokana na attitude, P.H ya udongo na madini yalio katika udongo, Kwa kifupi huwezi tu kujiamulia kuilima sehemu yoyote
TARI watutengenezee mbegu zinazokubali kuota kwenye maeneo yetu.
 
Ni swali critical linalohusu kuichimba akili ya muhalifu (criminal mind investigation) anaelima madawa kwa mrengo wa kiuchumi na hatari / risks za biashara haramu wanazofanya.

Kilimo cha madawa ya kulevya ni haramu kwa sheria za Tanzania, ukilima bangi kuna mvua ya miaka 20+, ukilima cocaine, Heroine, n.k. kifungo ni kama cha kulima bangi.

watu wanahatarisha maisha yao kulima Bangi sababu ya faida, Kwa bei za black market Gunia huuzwa milioni 2 na nusu, Heka moja (nusu ya uwanja wa mpira) hutoa gunia 10 sawa na milioni 25, wengine humiliki mamia ya heka tunayoona yakichomwa moto yakigundulika, piga hesabu.

Lakini pesa hii si chochote kwa madawa mengine kama heroine na cocaine, haya ni madawa ambayo yana pesa kubwa zaidi,

Mmea kama cocaine unahitaji udongo wenye Ph level 5 hadi 6 na hali ya hewa nyuzi joto 20 - 30, maeneo ya kanda ya juu kusini yanakidhi sifa

Ndiyo, mmea unaotumika kutengeneza kokaini, yaani coca (Erythroxylum coca), unaweza kustawi katika baadhi ya maeneo ya Tanzania kwa sababu ya hali ya hewa na aina za udongo zinazopatikana nchini. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ya kuzingatia:


Mahitaji ya Hali ya Hewa

  1. Joto na Unyevu: Mmea wa coca hustawi vizuri katika maeneo ya kitropiki yenye joto la wastani kati ya 20°C hadi 30°C. Pia, unahitaji kiwango cha wastani hadi juu cha unyevunyevu wa hewa.
  2. Mvua: Mmea huu unahitaji mvua za wastani, lakini hauwezi kuhimili maji yaliyotuama. Maeneo yenye mvua ya msimu kama Kanda ya Ziwa au Pwani yanaweza kuwa mazuri kwa kilimo chake.
  3. Udongo: Coca inahitaji udongo unaopitisha maji vizuri, wenye rutuba, na pH ya wastani wa kati ya 5.5 hadi 6.5.

Tanzania ina aina tofauti za udongo unaoweza kufaa kwa mazao mbalimbali, na kuna baadhi ya mikoa/maeneo yenye udongo unaokidhi vigezo vya mmea wa coca (Erythroxylum coca). Kulingana na mahitaji ya coca (udongo unaopitisha maji vizuri, wenye rutuba, na pH ya 5.5–6.5), maeneo yafuatayo yanaweza kuwa na udongo unaofaa:

Nyanda za Juu Kusini

  • Mikoa: Mbeya, Njombe, Iringa, na Songwe.
  • Sifa za Udongo:
    • Udongo wenye rutuba kutokana na mabaki ya volkeno (volcanic soils).
    • Unapitisha maji vizuri, hasa maeneo ya miteremko.
    • pH mara nyingi ipo kati ya 5.5–6.5 katika baadhi ya mashamba ya chai na kahawa.


Masuala ya Kisheria

Kilimo cha mmea wa coca ni kosa kubwa kisheria nchini Tanzania, Afrika, na sehemu nyingine nyingi duniani. Hii ni kwa sababu coca ni chanzo kikuu cha kutengeneza kokaini, ambayo ni dawa haramu ya kulevya inayodhibitiwa vikali.

Heroine inayotoka kwenye mmea wa opim poppy nayo inaweza kulimwa

Ndiyo, mmea wa opium poppy (Papaver somniferum) unaweza kulimwa Tanzania, kwani hali ya hewa ya nchi inaweza kufaa kwa kilimo chake, hasa katika maeneo yenye baridi ya nyanda za juu. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ya kuzingatia:

Mahitaji ya Hali ya Hewa

  1. Joto: Opium poppy hustawi katika maeneo yenye joto la wastani. Inahitaji hali ya baridi wakati wa mwanzo wa ukuaji na joto la wastani inapokomaa. Maeneo kama Nyanda za Juu Kusini (Iringa, Njombe, Mbeya) au Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro) yanaweza kufaa.
  2. Mvua: Mmea huu unahitaji mvua ya wastani, hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji. Hata hivyo, hauwezi kustahimili maji yaliyotuama, hivyo udongo wa eneo unapaswa kuwa na mifereji mizuri ya maji.
  3. Udongo: Unahitaji udongo unaopitisha maji vizuri, wenye mchanga au mfinyanzi wa kiasi, na pH ya kati ya neutral hadi alkaline.

Masuala ya Kisheria

Kilimo cha opium poppy kimewekewa udhibiti mkali duniani kote kwa sababu mmea huu hutumika kuzalisha dawa za kulevya kama vile morphine na heroin. Hapa Tanzania, kilimo cha mmea huu bila kibali maalum kutoka kwa serikali ni kosa la jinai. Ukikamatwa ukilima mmea huu kinyume cha sheria, unaweza kukumbana na adhabu kali.


Swali langu ni kwamba kwanini wakulima hao wanajihatarisha kwa faida ndogo wakati kuna mibadala yenye faida kubwa zaidi na vifungo sawa ?
Utamuuzia nani kwa sababu bangi rahisi kuinadilisha kuwa end product wakati mfano cocaine inahitaji maabara kuitengeneze ambayo inahusisha pia chemicals na wakemia au watu wenye uzoefu.
Hivyo wakilima watamuuzia nani hapa? Nani yuko tayari kutake risk ya kuwa na maabara hiyo.
 
Back
Top Bottom