Kwanini wakulima wa Bangi hawalimi Cocaine au madawa mengine yenye faida kubwa zaidi wakati vifungo vya kulima dawa za kulevya vinafanana?

Kizazi cha chat GPT😁😁😁

anyway the future is bright, sasa miaka ya mbele haitakuwa na haja ya kuandika notes shuleni AI zinawalemaza kizazi hiki.

Huko vyuoni saiv assignment zinatupiwa tu kwenye AI wanafunzi hawajishughulishi kabisa. Mwisho wa siku Haya maroboti yatatutawala maana yameanza kutupiku kwenye kufikiri.

THE JUGDEMENTDAY😁😁😁TERMINATOR YA ANODI ILITABIRI THE FUTURE.
 
Dah! Hapa umeandika kama Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo. Very interesting. Fix nyiingi!! Halafu output hakuna. 😁
 
Tutarudi kwenye factor zile zile tu, ukiona kitu watu hawakilimi na kina pesa nyingi ujue tu mazingira sio rafiki..... Mbona hatulimi mirungi( achana na ya upareni kule vile vifupi havina hata soko) tunategemea mirungi Toka Kenya????
Na hali ya hewa na mazingira ya meru(kenya) na meru (Tanzania) yanafanana kila kitu
 
Wataalamu wa kuprocess Coca kutoka majani mpaka unga sio shida kuwapata ukiwa na mtaji mzuri ila shida ni kujificha mbele ya mikono ya serikali,

kiuhalisia polisi huonekana hawafanyi kazi pale ambapo unakuwa huna kosa ila ukiwa ni Wanted utaona jinsi polisi wanavyofanya kazi.
 
Mtoa mada mbona mada yako huielewi? Mmea wa Coca ndio unaotumika kuzalisha Heroin na Cocaine
Mmmea wa coca unazalisha cocaine

Mmea wa Opium Poppy unazalisha Heroin
 
Mbegu za cocaine unapata wapi.
Pili bangi ulimwa na illiterate people kama kilimo cha asili
 
Law of comparative advantage hiyo, ndio maana hata bangi inatofautiana ubora kulingana na eneo inayolimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…