Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Hapa umeandika kama Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo. Very interesting. Fix nyiingi!! Halafu output hakuna. 😁Shida itakuwa upatikanaji wa pembejeo kama mbegu na viuatilifu.
Inabidi wakulima wetu sasa wa advance waende hapo Afghanistan waje na mbegu bora ya opium poppy au Peru waje na mbegu za coca waazinzishe uzalishaji wa kisasa
Vile vile itabidi wajifunze jinsi ya kusindika baada ya mavuno huku wakiangazia upatikanaji wa masoko ya ndani na nje
Na hali ya hewa na mazingira ya meru(kenya) na meru (Tanzania) yanafanana kila kituTutarudi kwenye factor zile zile tu, ukiona kitu watu hawakilimi na kina pesa nyingi ujue tu mazingira sio rafiki..... Mbona hatulimi mirungi( achana na ya upareni kule vile vifupi havina hata soko) tunategemea mirungi Toka Kenya????
Mmmea wa coca unazalisha cocaineMtoa mada mbona mada yako huielewi? Mmea wa Coca ndio unaotumika kuzalisha Heroin na Cocaine
Law of comparative advantage hiyo, ndio maana hata bangi inatofautiana ubora kulingana na eneo inayolimwa.Nadhani unamaanisha coca plants??
Hii kitu huwezi kuipanda tu popote ikakua, hata huko south America ambapo wanalima Sana nadhani inakubali tu sehemu yenye milima/muinuko mkali, Kuna kipindi nchi kama Ghana, Ivory coast na Nigeria walijaribu ila hawakupata matokeo chanya
Ni sawa kipindi kile ma apple ya tanga, huwezi yalinganisha ni ya south Africa....
Hii nadhani inatokana na attitude, P.H ya udongo na madini yalio katika udongo, Kwa kifupi huwezi tu kujiamulia kuilima sehemu yoyote