Mkurugenzi wa idara kama TISS anajua na kufahamu most top secrets za taasisi ya Rais na mipango mizima ya utekelezaji na execution zake. Kwa muktadha huo naweza kusema anafahamu hadi rangi ya ndani ya nguo za taasisi ya Raisi (Tafsida) na timu yake yote.
Anapotoka kwenye kiti cha ukurugenzi lazima awekwe mahali ambapo atakuwa monitored na kufuatiliwa mienendo yake, mawasiliano yake n.k.
Ubalozini hasa nje ya nchi ni rahisi sana kum monitor kuliko akiwa ndani ya nchi. Hapa hata akijamba au akitoa ushuzi( Tafsida ) Kuna njema zinasikia harufu. Kinachotokea hapa ni kwamba na yeye nguo zake za ndani anazovaa zinajulikana na njemba wanao m zoom 24/7, day & night, every minute, second and millisecond.
Hayo ndio mawazo yangu finyu nikiwa nimeshiba ugali tembele na dagaa wa kigoma nikiwa viunga vya bandari ya Dar es salaam.