Kwanini walevi huwa hatukosi hela

Kwanini walevi huwa hatukosi hela

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nikinywa pombe labda za 30000 usiku Basi lazima kesho nitajuta kutumia hela vibaya ila nikisema nisinywe kabisa labda nipumzuke week Basi nakosa hela kabisa hata ma deal nakuwa sipati..Kuna uhusiano gani Hapa katikati maana walevi mtaani kwetu tunakunywa mpaka tunaitwa DDO yaani DAILY DRINKING OFFICER lakini Cha ajabu hatukosi hela ila wale wanaojifanya walokole hata ya kunywa soda wanakosa wanatuomba sisi.
 
Hakuna tofauti maana Ni asilimia tano tu ya wanywaji wanashiba beer moja au mbili wengineo tuliobakia tukilianzisha Basi ujue ndo tayari nadhani ushanielewa

Nimekuelewa wanasema pombe sio chai kuna baadhi mpaka wazime ndio ukomo
 
NAWAKUBALI SANA WALEVI KATIKA KUTAFUTA PESA HUWA SIO BUTU WALE JAMAA
 
Back
Top Bottom