ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nikinywa pombe labda za 30000 usiku Basi lazima kesho nitajuta kutumia hela vibaya ila nikisema nisinywe kabisa labda nipumzuke week Basi nakosa hela kabisa hata ma deal nakuwa sipati..Kuna uhusiano gani Hapa katikati maana walevi mtaani kwetu tunakunywa mpaka tunaitwa DDO yaani DAILY DRINKING OFFICER lakini Cha ajabu hatukosi hela ila wale wanaojifanya walokole hata ya kunywa soda wanakosa wanatuomba sisi.