Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 8, 2024 #41 Kilangi masanja said: Mie mnielekeze l pa kupata nokie express music org na iwe nzima aloo nitashukuru sana Click to expand... Simtangazii biashara ila uyu “Queen of Accessories “ ndio uwa namuelewa kwa old school Zote. Cheki N95 hii kaipost dakika 20 Ziliopita.
Kilangi masanja said: Mie mnielekeze l pa kupata nokie express music org na iwe nzima aloo nitashukuru sana Click to expand... Simtangazii biashara ila uyu “Queen of Accessories “ ndio uwa namuelewa kwa old school Zote. Cheki N95 hii kaipost dakika 20 Ziliopita.
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,495 Reaction score 5,025 Oct 8, 2024 #42 Anaziuzaje mashine za kazi hizo
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,431 Reaction score 13,876 Oct 8, 2024 #43 Apart from LUMIA kuna HTC hivi kuna simu kali kuzidi hizii??
B Bakalalwa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 748 Reaction score 1,217 Nov 5, 2024 #44 Real One said: Nilishawahi kutumia windows phone ya htc mwaka 2015 simu ilikuwa vizuri kwenye kula bando kwa shilingi mia sita nilikuwa napata Gb 1.2 ila ndani ya masaa mawili shughuli imekata Click to expand... Nimekuchek mkuu
Real One said: Nilishawahi kutumia windows phone ya htc mwaka 2015 simu ilikuwa vizuri kwenye kula bando kwa shilingi mia sita nilikuwa napata Gb 1.2 ila ndani ya masaa mawili shughuli imekata Click to expand... Nimekuchek mkuu