Kwanini walifungia simu za Window?

Kwanini walifungia simu za Window?

Mie mnielekeze l pa kupata nokie express music org na iwe nzima aloo nitashukuru sana
Simtangazii biashara ila uyu “Queen of Accessories “ ndio uwa namuelewa kwa old school
Zote.
IMG_0300.png

Cheki N95 hii kaipost dakika 20
Ziliopita.
 
Apart from LUMIA kuna HTC hivi kuna simu kali kuzidi hizii??
 
Nilishawahi kutumia windows phone ya htc mwaka 2015 simu ilikuwa vizuri kwenye kula bando kwa shilingi mia sita nilikuwa napata Gb 1.2 ila ndani ya masaa mawili shughuli imekata
Nimekuchek mkuu
 
Back
Top Bottom