kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
zilikuwa simu kali katika kifo chake ikafa na nokia pia. Nahisi labda huenda ingekaza ingetoboa.kabisa kaka unajua hii window phone natumia jamiiforum na kuperuzi tu kwenye browser lakini naipenda kuliko maelezoView attachment 3119263
Ila hakuna kifo ambacho kilikuwa cha kuchekesha kama blackberry. iPhone iliua vitu kibao kwa sababu ya dharau. Alieykuwa CEO wa microsoft wakati huo alipoona bei ya iPhone alicheka sana kwenye interview akisema hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kununua simu kwa bei ghali hivyo.
CEO wa rims yeye alisema sio tishio kwa blackberry maana haikai na charge na pia haina physical keyboard.