Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Halafu kutwa kucha yuko Ulaya kuomba misaada! Trump kutamka neno moja tu shitholes bila hata kutaja nchi dunia yote ya wajinga ikalipuka kwa hasira - death to America! Jamaa ni wavumilivu sana.Nadhani ni matusi tu ya Nyerere.