Kwanini waliitwa mabeberu?

Kwanini waliitwa mabeberu?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Wakuu kuna anayejua chanzo kilicho pelekea wakoloni kuitwa mabeberu? Naomba mnipe maelezo ya kina maana binafsi sijaelewa mpaka sasa.
IMG_6770.jpg
vi
 
Ni chuki tu na misamiati ya kueneza ant-colonialism kwa wakati huo
 
 
Unamjuwa Beberu anavyotoa Harufu?Sasa kaa na Mzungu alafu awe kapigwa na Jua,hiyo harufu anayotoa Beberu anasubiri.
 
Nadhani ni matusi tu ya Nyerere.
Halafu kutwa kucha yuko Ulaya kuomba misaada! Trump kutamka neno moja tu shitholes bila hata kutaja nchi dunia yote ya wajinga ikalipuka kwa hasira - death to America! Jamaa ni wavumilivu sana.
 
Kawaulize Watu wa Niger, Gabon, Mali, Burkina Faso na wengineo! Watakupa majibu.
 
Back
Top Bottom