Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Good afternoon class
Naomba kuuliza hivi walimu wanashida gani? Maana kwenye hatua zote tatu asilimia 50 lazma watapeliwe
Hatua ya kuomba kazi hapa wanapiga sana, vilio hapa ni vingi mno
Hatua ya kuingia kazini, hapa waliobahatika kupata napo utapeliwa sana wakipata visenti vyao sio na wanawake tu hata wanaume wenzao, madalal na mafundi maiko huwapiga sana
Hatua ya kustaafu, hapa pia upigwa sana na wakina dada na wazee wa mjini
Hivi kada inashida Gani?
Nawasilisha