Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIVI TANZANIA KUNA INTERNATIONAL SCHOOLS NGAPI....?
NI swali tu mwalimu mwenzangu....JUST TO BE FAIR...!
Kwa uelewa wangu,International school ni shule inayofundisha kwa kufuata mtaala wa kimataifa(International curriculum)Kwa maana hiyo basi sitaweza kusema Tanzania kuna International school ngapi kwa kuwa sijapitia mitaala inayofuatwa na shule hizo.Ila tu ninachoweza kusema ni kuwa shule nyingi zilizopo Tanzania zinazojiita International school hazistahili jina hilo kwa kuwa zinafuata mtaala wa Tanzania na hivyo ni vyema zingeitwa tu English Medium Schools.