Kwanini walinda mlango weusi sio wengi ligi za ulaya?

Sababu kubwa ni nafasi ya goalkeeper ni chache hivyo timu inakua na goalkeeping wawili hivyo nafasi inakua chache na watu wengi kutoipenda. Ingekua timu inakua na wachezaji wengi kwenye hiyo nafasi...weusi wangekua wengi sana.
 
Kwenye suala la makocha weusi pia kuna tatizo.

Paul Ince aliwahi kupewa timu ya Blackburn Rovers ikiwa ligi kuu ya Uingereza akaishusha daraja.

Hata hapa Afrika, klabu nyingi kubwa zinafundishwa na weupe, ina maana tatizo linaanzia kwanza kwetu wenyewe!
 
Hahaha hapa nadhani umemaliza kila kitu, hao makocha weusi tuu hata sisi hatuwaamini ije kuaminiwa kwa wazungu big NO!
 
Sababu kubwa ni nafasi ya goalkeeper ni chache hivyo timu inakua na goalkeeping wawili hivyo nafasi inakua chache na watu wengi kutoipenda. Ingekua timu inakua na wachezaji wengi kwenye hiyo nafasi...weusi wangekua wengi sana.
No way....
 
Makipa weusi huko nyuma walipata kung’ara ingawa hawakuwa wengi
Tomas Nkono (ambae ndio idol wa Buffon)
Jacques Songoo
Peter Rufai
Idris Kamen
 
kuna namba ambazo zinahitaji sana kutumia akili ikiwemo kipa na wazungu wanaamini kwamba mtu mweusi hana akili,that's a reason!
 
Makipa weusi huko nyuma walipata kung’ara ingawa hawakuwa wengi
Tomas Nkono (ambae ndio idol wa Buffon)
Jacques Songoo
Peter Rufai
Idris Kamen
Goalkeeping kwenye modern football inahitaji skills zaidi tofauti na zamani talent tu ilikua inatosha kuwa goalkeeper mzuri
 
Soon Air Manula, aka Aishi Manula wa Mo Fc atatamba Ulaya
 
Wazungu wanataka goalkeeper sio walinda mlango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…