HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Wewe ndiyo unasyress hakuna sehemu nimewahi kusema siamini MUNGU,siku zote wafia dini hamjui mnachokifanya zaidi ya ukigeugeu,tangu ukoloni na utumwa kuingia Afrika ilikuwa ni lazima kubatizwa au kuslimu na kupewa majina mapya ya kizungu au kiarabu.Wanabadilisha Imani sio jina!
Nadhani Mzee una stress fake za kujifanya haamini katika Mungu na dini!
Hilo nalo Wala halina asili ya Afrika kama ulivyo ushoga tu! Waafrika wanaamini Mungu hata iwe hawatumii jina Moja! Haawamini kwenye upuuzi kuwa ulimwengu hauna mwenye na Kila kitu kipo na kimetokea kwa nasibu tu!
Sema umefungishwa kwaresma kwa kuiga siyo kusema tumefunga,haina maana yoyote kila mwaka unafunga kwa kigezo kilekile na malengo yaleyaleTumefunga kwaresma mtumish
Tunaomba mtuache kwanza
Hata magerezani wamo waliofunga kwaresma kama weweTumefunga kwaresma mtumish
Tunaomba mtuache kwanza
Unaujua mzunguko wa nida wewe