Kwanini waliobatizwa na kusilimu wanaendelea kutumia majina ya asili??

Kwanini waliobatizwa na kusilimu wanaendelea kutumia majina ya asili??

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habarini,
Kila mara najiuliza inakuwaje Waafrikanwaliokana majina yao ya asili na kubatizwa au kusilim wakiamini wamezaliwa upya katika dini mpya waendelee kutumia majina ya asili?

Hapa ndipo nawiwa kusema wafia dini wote ni WAJINGA na WAPUMBAVU wasiojua wanachokifanya kama vile kuruka mkojo na kukanyaga mavi kama kweli hao wazungu na warabu wangekuwa wanamaanisha kubatzwa na kisilim ni kuzaliwa upya sasa kwanini waendelee kukubali majina ya koo za kiafrika?

Waafrika mjikomboe kutoka ktk utumwa wa KIFIKRA!!
 
Tumefunga kwaresma mtumish

Tunaomba mtuache kwanza
 
Wanabadilisha Imani sio jina!

Nadhani Mzee una stress fake za kujifanya haamini katika Mungu na dini!

Hilo nalo Wala halina asili ya Afrika kama ulivyo ushoga tu! Waafrika wanaamini Mungu hata iwe hawatumii jina Moja! Haawamini kwenye upuuzi kuwa ulimwengu hauna mwenye na Kila kitu kipo na kimetokea kwa nasibu tu!
 
Wewe ndiyo unasyress hakuna sehemu nimewahi kusema siamini MUNGU,siku zote wafia dini hamjui mnachokifanya zaidi ya ukigeugeu,tangu ukoloni na utumwa kuingia Afrika ilikuwa ni lazima kubatizwa au kuslimu na kupewa majina mapya ya kizungu au kiarabu.

Kila ukweli mnajitahidi kuupotosha kwakuwa yoote mnayoyaamini mmekarurishwa hata hiyo kwaresma unayojidaia bado umekaririshwa kwa kila mwaka unafunga na kurudia yaleyale maovu yako,iwapo unafanya dhambi kila mara huna budi kufunga kwa lengo la toba wakati wowote au kila mara bila kuwekewa ratiba,huo ni ukichaa!!
 
Tumefunga kwaresma mtumish

Tunaomba mtuache kwanza
Sema umefungishwa kwaresma kwa kuiga siyo kusema tumefunga,haina maana yoyote kila mwaka unafunga kwa kigezo kilekile na malengo yaleyale
 
Inamaana unafanya dhambi kwa makusudi ukitegemea kwaresma
 
Back
Top Bottom