Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Tatizo jingine ni kwamba wanafunzi wengi wanapomaliza form four au form six hawajui kwamba kuna kozi nyngne tofauti ya ualimu na unesi pindi wanapokosa kuchaguliwa kuendelea na mfumo sahihi wa elimu yaani ule wa 7;4;2;3. Hivyo wanachojua ni kukimbilia ualimu au kwenye majeshi. Ila ukweli ni kwamba kila fani uanzia ngazi ya cheti na kuendelea na ukisoma hyo ngazi ya cheti lazm utakuwa umepata four.