Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Bwana mdogo huna exposure kabisa Nina washkaji zangu tulimaliza Nao form 6 2005 walikuwa pcm wakapata one then wakaenda bsc educationBut baada ya kukimbilia ualimu kwanini wasireseat,unajua zaman waliokua wanasomea ualimu walikua wana alama za juu na ndio maana wana historia kubwa,saiv ukiwa na marks za kuungaunga ndio unakimbilia ualimu na kuna vyuo kibao nw vya degree za ualimu na unaingia kwa alama ndogo tu.unafkiri mtu ana 3 ya mwisho form six na amechukua shahada ya ualimu anaweza kumfundisha mtu akapata A advance?na hili ndio maana elimu yetu inadidimia coz cjawahi kumuona mtu ana (div 1 ya science) then akaamua kusomea ualimu
Wadau hivi kwanini ya majority ya waliopata alama ndogo form four na form six wanakimbilia ualimu lakini wanaopata alama nzur kidogo tu hawawazi kuwa walimu wanafkiria vitu vyengine,?
N.b sio wote but ni wengi wao
UDSM wapo watu walipata division II na wamesoma UDBS,Mimi nawajua hapa UDSM wapo kibao tena ndio wengi wenyw div 3 za science wanasomea ualimu,labda huko kwenu kwa arts maana hata div2 ni mbinde kusoma course ya kueleweka but UDSM au ukienda pale DUCE,Au MUCE basi 90% ya wanaosomea ualimu wa science basi ni div3
Walim hao walinifundisha shule ya Msingi Mkondoa wilaya ya Kilosa,kuanzia darasa la I mpaka la VII kuanzia mwaka 1989-1995,nawakumbuka na nawaheshim sana,wapo ambao mpaka sasa nnakutana nao na nawashukuru kwa mchango waoAliye feli huandikiwa Failed kinyume chake waliosalia wote huandikiwa Pass. Pia wote hatuwezi pata alama sawa.
Unanikumbusha miaka X iliyopita vijana walifundishwa na walimu walioitwa walimu wa UPE baada ya vijana hao kufaulu na kufanikiwa wakaja na sera ya kutimua walimu wote wa UPE. Kipindi hicho ufaulu haukuwa huu "mwalimu alikuwa darasa la saba elimu yake lakini kafaulisha vijana wengi mpaka vyuo vikuu" . Wakaanza kuletwa wenye elimu kuanzia kidato cha nne kama sehemu ya kuboresha elimu matokeo yake ndo haya ya sasa tuyaonayo. SASA MIMI NAONA WAKILETWA VIJANA WENYE UFAULU MKUBWA ZAIDI NDO WATOTO/VIJANA /WANAFUNZI WATAFELI ZAIDI. Bora twendelee hivihivi
Na wewe tukuite popo?kazi yako kutetea chama cha magamba sasa si nenda kawaambie kuwa wasiweke waliofeli maana wanajaza ujinga wanafunzi au upo kwa ajili ya buku 7?(lumumba team):A S 109::A S 109::busu:busu:busu:ban:
Nina uhakika una division one au two ya darasani lakini una probability kubwa ya kufail mtihani wa maisha.Mimi nawajua hapa UDSM wapo kibao tena ndio wengi wenyw div 3 za science wanasomea ualimu,labda huko kwenu kwa arts maana hata div2 ni mbinde kusoma course ya kueleweka but UDSM au ukienda pale DUCE,Au MUCE basi 90% ya wanaosomea ualimu wa science basi ni div3
Unajicontradict mwenyewe.Nitakuwa chini yako lini kwanini nisiwe chini yako sasa? Time will timeDats good but ujue kufeli kwangu maisha but wewe utakua chini zaidi yangu
tatizo ni kuwa ulipenda kusomea hiyo taaluma....au ulisomea kwa ajili ya kupata BOOM
Wadau hivi kwanini ya majority ya waliopata alama ndogo form four na form six wanakimbilia ualimu lakini wanaopata alama nzur kidogo tu hawawazi kuwa walimu wanafkiria vitu vyengine,?
N.b sio wote but ni wengi wao