White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali nimegundua hivyo. Je, kuna ukweli wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi tena wamekuwa wabinafsi?kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali nimegundua hivyo je kuna ukweli wowote?
Yaan ni watu wanaojijali wao tuh, hawajali kuhusu wengine bila kujali wana uusiano nao ganiKivipi tena wamekuwa wabinafsi?
Na wewe upo hivyo?Ni kweli.mimi ni mmoja wapo.nimezaliwa kwa mama peke yangu.
Inategemea lakini mimi niliokutana nao wengi wapo hivyosio kweli, mbona mimi sio mbinafsi.
Ni kweliWatu hawafanani tabia,hata kama ungezaliwa kwa familia ya kifalme.
Kwa baba mko wangapi?Ni kweli.mimi ni mmoja wapo.nimezaliwa kwa mama peke yangu.
Weka ushahidi?kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali nimegundua hivyo je kuna ukweli wowote?
3.ila uwa najiona nipo peke yangu.sina habari za undugu undugu.wala kujuana Juana.Kwa baba mko wangapi?
Kabisaa.Na wewe upo hivyo?
Nimeshasema “ni kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali” hiyo ndo reference yangu kwahiyo kuwa kweli au uongo inategemea na uzoefu wa watu wengine pia ndo maana nimeweka uzi hapa jukwaaniWeka ushahidi?
As per reference ipi?
Hakuna ukweli wowote
Shahidi mmoja ref comment #15Nimeshasema “ni kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali” hiyo ndo reference yangu kwahiyo kuwa kweli au uongo inategemea na uzoefu wa watu wengine pia ndo maana nimeweka uzi hapa jukwaani
Bora umetoa ushuhuda mkuuKabisaa.